Uchaguzi 2020 Wanaogombania kutuongoza ahadi zao hatuzielewi

blackandwhite

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
62
Reaction score
92
Naona wingi wa ahadi kutoka kwa wagombea watafanya hili na lile lakini wanasahau kutuambia njia watakozotumia kutukamua kupata hizo fedha za kuyafanya hayo wanayotuahidi.

Nilikuwa nafikiri ni wakati muafaka watupe na njia za kupata ili tuchague pia na njia ya kukamuliwa sababu njia nyingine wanazotumia zimetuumiza sana
 
Rahisi tu. Badala ya kununua ndege, tutaongeza mishahara ya wafanyakazi. Badala kujenga barabara kama ile baharini kwenda Coco beach tutaajiri waalimu.

Badala ya kumwaga matrilioni kuhamia Dodoma tutaboresha miundombinu ya afya, majengo, madawa, vifaatiba, kuajiri madaktari na manesi, kuwaongeza mishahara n.k. Mbona pesa zipo tu! Tatizo vipaumbele na mipango mibovu?
 
Rahisi tu. Badala ya kununua ndege, tutaongeza mishahara ya wafanyakazi. Badala kujenga barabara kama ile baharini kwenda Coco beach tutaajiri waalimu. Badala ya kumwaga matrilioni kuhamia Dodoma tutaboresha miundombinu ya afya, majengo, madawa, vifaatiba, kuajiri madaktari na manesi, kuwaongeza mishahara n.k. Mbona pesa zipo tu! Tatizo vipaumbele na mipango mibovu?
Kwani hiyo mishahara italipwa kwa mwezi mmoja tu?

Kwa hiyo chadema wakiingia madalakani hakuna kitu kitajengwa bali wao watalipa mishahra tu?

Je hiyo mishahara itaghalimu shilingi ngapi nyongeza kwa mwezi?

Pesa ya hizo ndege na daraja ikigawika kwenye mishahara itatumika Mitzi mingapi?

Je hao watakolipwa mishahara mikubwa kisha hakuna ndege wakitaka kusafiti watatumia nini kuwahi maana kutakuwa hakuna ndege?

Dogo kila kitu kina umuhimu wake, wewe usiyepanda ndege utapanda basi.

Pia kuna watu wakikosa nadege unakuwa umenyima hii yao.

Kwa hiyo tumieni akiri na vinginevyo.
 
Hebu waulize: Kwa nini waliondoa tume ya mipango? Na nani sasa ana-guide matumizi ya bajet ya taifa? Utapata majibu ya maswali yako!
 
Unaeleza mambo yasikuwa na tija hiyo tume ya mipango wakati ikiwa kuna ufanisi gani kwa wananchi ulipatikana?
Au wewe ni moja ya wanatume hiyo.ulie athilika nakuvunjwa kwake?
 
POLE!!!
 
Rahisi tu. Badala ya kununua ndege, tutaongeza mishahara ya wafanyakazi. Badala kujenga barabara kama ile baharini kwenda Coco beach tutaajiri waalimu.

Badala ya kumwaga matrilioni kuhamia Dodoma tutaboresha miundombinu ya afya, majengo, madawa, vifaatiba, kuajiri madaktari na manesi, kuwaongeza mishahara n.k. Mbona pesa zipo tu! Tatizo vipaumbele na mipango mibovu?
Kabisa
 
Back
Top Bottom