blackandwhite
Member
- Mar 4, 2015
- 62
- 92
Kwani hiyo mishahara italipwa kwa mwezi mmoja tu?Rahisi tu. Badala ya kununua ndege, tutaongeza mishahara ya wafanyakazi. Badala kujenga barabara kama ile baharini kwenda Coco beach tutaajiri waalimu. Badala ya kumwaga matrilioni kuhamia Dodoma tutaboresha miundombinu ya afya, majengo, madawa, vifaatiba, kuajiri madaktari na manesi, kuwaongeza mishahara n.k. Mbona pesa zipo tu! Tatizo vipaumbele na mipango mibovu?
Hebu waulize: Kwa nini waliondoa tume ya mipango? Na nani sasa ana-guide matumizi ya bajet ya taifa? Utapata majibu ya maswali yako!Kwani hiyo mishahara italipwa kwa mwezi mmoja tu?
Kwa hiyo chadema wakiingia madalakani hakuna kitu kitajengwa bali wao watalipa mishahra tu?
Je hiyo mishahara itaghalimu shilingi ngapi nyongeza kwa mwezi?
Pesa ya hizo ndege na daraja ikigawika kwenye mishahara itatumika Mitzi mingapi?
Je hao watakolipwa mishahara mikubwa kisha hakuna ndege wakitaka kusafiti watatumia nini kuwahi maana kutakuwa hakuna ndege?
Dogo kila kitu kina umuhimu wake, wewe usiyepanda ndege utapanda basi.
Pia kuna watu wakikosa nadege unakuwa umenyima hii yao.
Kwa hiyo tumieni akiri na vinginevyo.
Unaeleza mambo yasikuwa na tija hiyo tume ya mipango wakati ikiwa kuna ufanisi gani kwa wananchi ulipatikana?Hebu waulize: Kwa nini waliondoa tume ya mipango? Na nani sasa ana-guide matumizi ya bajet ya taifa? Utapata majibu ya maswali yako!
POLE!!!Unaeleza mambo yasikuwa na tija hiyo tume ya mipango wakati ikiwa kuna ufanisi gani kwa wananchi ulipatikana?
Au wewe ni moja ya wanatume hiyo.ulie athilika nakuvunjwa kwake?
KabisaRahisi tu. Badala ya kununua ndege, tutaongeza mishahara ya wafanyakazi. Badala kujenga barabara kama ile baharini kwenda Coco beach tutaajiri waalimu.
Badala ya kumwaga matrilioni kuhamia Dodoma tutaboresha miundombinu ya afya, majengo, madawa, vifaatiba, kuajiri madaktari na manesi, kuwaongeza mishahara n.k. Mbona pesa zipo tu! Tatizo vipaumbele na mipango mibovu?