Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Umemuelewa mh. Askofu ?!Askofu, uliyoandika na watu ulio wataja, ndiyo hesabu ya kura mlizo pata! 84% ya kura za Magufuli ni za wale ambao hukuwataja! Mnaungwa mkono na wananchi wachache, na hao utakuta ni wale disgruntled! Kwa mfano uliowataja wa vyeti hewa. Je hao ni wangapi? Na number za walimu, TISS, askari etc. wanaokusuport ni ndogo na jumla ni hiyo mliyopata! Mbona mwenzio (Lissu) amekubali kwamba watanzania hawakuwapa kura wapinzani! Eti haja amuka!...
Askofu, uliyoandika na watu ulio wataja, ndiyo hesabu ya kura mlizo pata! 84% ya kura za Magufuli ni za wale ambao hukuwataja! Mnaungwa mkono na wananchi wachache, na hao utakuta ni wale disgruntled! Kwa mfano uliowataja wa vyeti hewa. Je hao ni wangapi? Na number za walimu, TISS, askari etc. wanaokusuport ni ndogo na jumla ni hiyo mliyopata! Mbona mwenzio (Lissu) amekubali kwamba watanzania hawakuwapa kura wapinzani! Eti haja amuka!...
Hahahaaaa...........!Acha utoto dogo.
Huwezi kuvitenganisha.Tuepuke kuchanganya dini na siasa!
Wngeunga juhudi mngesema "Hawa ndio viongozi wa dini tunaowataka".Kwa mcha Mungu, kuogopa binadamu ni dhambi.Tuepuke kuchanganya dini na siasa!
Hivi ni vitu viwili that goes parallel. Hata Yesu aliyekuwa mfia Imani number moja aliisakama serikali ya wayahudi chini ya utawala wa Roma Ike kuwa hawa?Tuepuke kuchanganya dini na siasa!