Wanaohama chadema G55. Wahame kwa maandishi wasiishie kuita Press tu. Watakuja kuruka baadae

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.

Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.

Pili Pangeni kampeni ya kurudisha uongozi mpya sehemu.zote ambako hawa panyabuku wameondoka.

Mmeanza kuweweseka kama mmelewa chimpumu!

Zama hizi mnataka kuwageuza watu vibwetele?
 
GT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.

Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.

Pili Pangeni kampeni ya kurudisha uongozi mpya sehemu.zote ambako hawa panyabuku wameondoka.

View attachment 3333507
kuhama chama cha siasa ni bure na kujiunga na chama kingine cha siasa ni uhuru, haki na hiyari ya mwananchi mwenyewe. Barua haina maana yoyote gentleman kwasabb kujiunga ni bure na kujiengua ni bure pia 🐒
 
Uko sahihi kabisa , mfano hai ni lile sakata la yule profesa mpumbavu Ibrahim Lipumba.
 
GT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.

Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.

Pili Pangeni kampeni ya kurudisha uongozi mpya sehemu.zote ambako hawa panyabuku wameondoka.

View attachment 3333507
Wasije kufanya ya Prof Lipumba
 
kuhama chama cha siasa ni bure na kujiunga na chama kingine cha siasa ni uhuru, haki na hiyari ya mwananchi mwenyewe. Barua haina maana yoyote gentleman kwasabb kujiunga ni bure na kujiengua ni bure pia 🐒
Hakuna unachojua wewe
 
Back
Top Bottom