The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
kuhama chama cha siasa ni bure na kujiunga na chama kingine cha siasa ni uhuru, haki na hiyari ya mwananchi mwenyewe. Barua haina maana yoyote gentleman kwasabb kujiunga ni bure na kujiengua ni bure pia πGT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.
Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.
Pili Pangeni kampeni ya kurudisha uongozi mpya sehemu.zote ambako hawa panyabuku wameondoka.
View attachment 3333507
Uko sahihi kabisa , mfano hai ni lile sakata la yule profesa mpumbavu Ibrahim Lipumba.GT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.
Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.
Pili Pangeni kampeni ya kurudisha uongozi mpya sehemu.zote ambako hawa panyabuku wameondoka.
View attachment 3333507
Wasije kufanya ya Prof LipumbaGT.

Hakuna unachojua wewekuhama chama cha siasa ni bure na kujiunga na chama kingine cha siasa ni uhuru, haki na hiyari ya mwananchi mwenyewe. Barua haina maana yoyote gentleman kwasabb kujiunga ni bure na kujiengua ni bure pia π
Yes exactly π―Wasije kufanya ya Prof Lipumba
ralax basi mjuaji mropokajiHakuna unachojua wewe