Hao wapo kimkakati hata press zao wanaziita wakiwa na details zote za CDM.
Tatzo ni huo uenyekiti tu na si vinginevyo,walikua wanasubiri mwenyekiti mpya akawalambe miguu.
Sasa hawajui wanamchafua hata huyo mbowe,Hebu fikir humo humo wapo waume wa Covid-19,wenye tuhuma za rushwa,wanaolelewa na wake zao,wengine wauzaji/madalali wa ubunge.
Yani mimi ningekua mwamba kwakweli ningewakana na kuwaambua sihusiki na uhuni wao