USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA
Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi
Ukiwaambia njooni na nyie tukazuie uchaguzi pamoja wanakwambia wanaogopa ila wanakutaka wewe na ujinga wako uwe tayari kufa wao wabaki Ulaya na Marekani wanakula maisha , wewe ni mjinga sana ,jipige kifua useme wewe ni fala sana
Kujitafutia matatizo ni moja ya dalili za
ukichaa ,matatizo uliyonayo bado huwezi kuyamudu ila unataka kuongeza mengine ambayo hujui hata matokeo yake yatakuwaje !
Kuna vijana wajinga waliwatetea wanasiasa Pemba leo ni vilema na hakuna hata waakuwapa panadol, kuna watu walimpigania Mwita Mwikabe Waitara kisha akahamia CCM , kina watu walifariki wakipigania madiwani wa Arusha leo watoto wao wanataabika hakuna hata wa kuwafariji na Arusha ipo CCM na mayor wake ,
Leo watu wapo Ulaya,Marekani, Kenya wanalipwa pesa nyingi za kupigania kinachoitwa demokrasia Afrika ila wanakujaza ujinga ukaandamane hata kufa wao wapate pesa ,WEWE NI MJINGA SANA ,
Kwanini wasije na wao muandamane pamoja ? Kwanini waogope kuja ila wewe ndio uende usiogopa kufa ,usiogopa matatizo? Ukipatwa na matatizo nani anakuja kuwa kuna mjinga mmoja yuko huko Kagera ndani ndani aliumia kwenye maandamano yalipigwa marufuku.