Wewe ipo wapi ndugu kwani kwa sasa jukwaa halipatikani kwa walioko nyumbani,je wewe niwa ndani na msemaji wa walio nje au ni wandani ukiwasemea wa njee?BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA
Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi
Ukiwaambia njooni na nyie tukazuie uchaguzi pamoja wanakwambia wanaogopa ila wanakutaka wewe na ujinga wako uwe tayari kufa wao wabaki Ulaya na Marekani wanakula maisha , wewe ni mjinga sana ,jipige kifua useme wewe ni fala sana
Kujitafutia matatizo ni moja ya dalili za
ukichaa ,matatizo uliyonayo bado huwezi kuyamudu ila unataka kuongeza mengine ambayo hujui hata matokeo yake yatakuwaje !
Kuna vijana wajinga waliwatetea wanasiasa Pemba leo ni vilema na hakuna hata waakuwapa panadol, kuna watu walimpigania Mwita Mwikabe Waitara kisha akahamia CCM , kina watu walifariki wakipigania madiwani wa Arusha leo watoto wao wanataabika hakuna hata wa kuwafariji na Arusha ipo CCM na mayor wake ,
Leo watu wapo Ulaya,Marekani, Kenya wanalipwa pesa nyingi za kupigania kinachoitwa demokrasia Afrika ila wanakujaza ujinga ukaandamane hata kufa wao wapate pesa ,WEWE NI MJINGA SANA ,
Kwanini wasije na wao muandamane pamoja ? Kwanini waogope kuja ila wewe ndio uende usiogopa kufa ,usiogopa matatizo? Ukipatwa na matatizo nani anakuja kuwa kuna mjinga mmoja yuko huko Kagera ndani ndani aliumia kwenye maandamano yalipigwa marufuku.
USSR View attachment 3478320
Atakuwa kashurutishwa kuandika uzi sii bure.!Waambie mods warekebishe kichwa cha habari kwanza.
Maana kwa hofu uliyonayo mwisho utaishia kutukana bila kukusudia.
Halafu kenge anajaribu kutugawia ubongo wake unaochungulia nje ya fuvu lake baada ya kichapo cha kumpatia elimuMaisha tunayoishi tu ni maandamano tosha ambayo hayajapata majibu kutoka juu.
Hebu acha uongo na urekebishe kauli Roma alitekwa sio alishikiliwa na sio siku 1 tu siku 3 hakujulikana alipokuwepo hadi zero brain Bashite akasema atapatikana kabla ya Jumapili na akapatikana kweli je alijuaje?"Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu "View attachment 3478320
Unaingia jamiiforum kwa VPN kuja kusapotu alie ifungia Jf? hizi sii akili ni mavi yamejaa kwenye mafuvu yenu,BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA
Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi
Ukiwaambia njooni na nyie tukazuie uchaguzi pamoja wanakwambia wanaogopa ila wanakutaka wewe na ujinga wako uwe tayari kufa wao wabaki Ulaya na Marekani wanakula maisha , wewe ni mjinga sana ,jipige kifua useme wewe ni fala sana
Kujitafutia matatizo ni moja ya dalili za
ukichaa ,matatizo uliyonayo bado huwezi kuyamudu ila unataka kuongeza mengine ambayo hujui hata matokeo yake yatakuwaje !
Kuna vijana wajinga waliwatetea wanasiasa Pemba leo ni vilema na hakuna hata waakuwapa panadol, kuna watu walimpigania Mwita Mwikabe Waitara kisha akahamia CCM , kina watu walifariki wakipigania madiwani wa Arusha leo watoto wao wanataabika hakuna hata wa kuwafariji na Arusha ipo CCM na mayor wake ,
Leo watu wapo Ulaya,Marekani, Kenya wanalipwa pesa nyingi za kupigania kinachoitwa demokrasia Afrika ila wanakujaza ujinga ukaandamane hata kufa wao wapate pesa ,WEWE NI MJINGA SANA ,
Kwanini wasije na wao muandamane pamoja ? Kwanini waogope kuja ila wewe ndio uende usiogopa kufa ,usiogopa matatizo? Ukipatwa na matatizo nani anakuja kuwa kuna mjinga mmoja yuko huko Kagera ndani ndani aliumia kwenye maandamano yalipigwa marufuku.
USSR View attachment 3478320
it has to be bloody, mambo ya kutumia "busara"Kwanini watu wauwawe? Na Anae ua hasa ni nani? na atawaua kwanini?
Mbona watu wakipanga kuandamana kitisho kwao kiwe kifo? je, na wao wakiamua kuua itakuwaje?
Akili yako yote imeishia hapa;. Kuwa "kuandamana ni kufa"?BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA