Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #181
Mkuu Drifter, kiukweli nimekupenda haswa katika kuambiana kitu kinachwoitwa the bitter reality, it's very bitter to swallow but is is the reality you will have to swallow regardless unapenda au hupendi, unakubaliana na hali hiyo au hukubaliani, kama hicho ndicho kilichopangwa kitokee, ndicho kitakachotokea hiyo 2020.Certainly. You know damn well that “Smart opposition players” have already started shifting to the winning side.
Mkuu Driter, kiukweli nimekupenda haswa katika kuambiana kitu kinachwoitwa the bitter reality, it's very bitter to swallow but is is the reality you will have to swallow regardless unapenda au hupendi, unakubaliana na hali hiyo au hukubaliani, kama hicho ndicho kilichopangwa kitokee, ndicho kitakachotokea hiyo 2020.
Hao smart opposition players unaowazungumzia ndio hawa ninao wazungumza katika bandiko hili.
P
Mkuu Drifter, sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu na kuandika, ila pia niliwahi kushauri hiviNdugu pascal, mabandiko yako yamekaa vizuri kuchangamsha baraza. Lakini tukizingatia kuwa hizi sio hadithi za kijiweni bali ni kuhusu hali halisi ya nchi yetu na wajibu tulio nao kwake, basi sisi ni jamii ya ovyo sana
We have become part and parcel of this embarrassment. We have to do more in terms of defining our stance rather than just demonstrating our “genius” for discerning the “smart moves” of twisted and shameless politicians that are hell-bent on destroying the country.
Kwa cdm hii afadhali I we hivyoCCM "imeshinda" kwa mtutu wa bunduki.
Na ni taahira tu watakaoshindwa kuelewa kuwa wanaohamia ccm wameona mbali.Ni watu waliojaa mavi tu akili zao ndio wanaona hivyo
Waambie wasipoteze muda, hakuna upinzani tenaKinachohitajika ni upinzani ambao unajua ideology ya chama na kuisimamia, huu upinzani wa kurukia rukia mambo muda wake umekwisha.
Hapa tulipofika, hakuna tena haja ya kumwambia mtu kuhusu kupoteza muda, wenye macho na wanaoona mbali, wanaendelea kuchukua maamuzi, wengi wa wabunge wanausubiri ile pensheni yao wasepe zao.Waambie wasipoteze muda, hakuna upinzani tena
Na ni taahira tu watakaoshindwa kuelewa kuwa wanaohamia ccm wameona mbali.
As days go by, idadi ya wanasiasa wa upinzani wanaojitambua, inazidi kuongezeka, leo
Mkuu we una amini kujiunga na WAFUGA CHATU ni kujitambua?As days go by, idadi ya wanasiasa wa upinzani wanaojitambua, inazidi kuongezeka, leo
Cecil Mwambe amejitambua rasmi.
P
Shetani Kumiliki Dunia ni tukio linalotazamiwa ila Mungu bado husisitiza waja wake kuwa imara na wavumilivu nyakati hizi za mwisho, Mwenye masikio na asikie neno roho ayaambia Mataifa ,Hapa tulipofika, hakuna tena haja ya kumwambia mtu kuhusu kupoteza muda, wenye macho na wanaoona mbali, wanaendelea kuchukua maamuzi, wengi wa wabunge wanausubiri ile pensheni yao wasepe zao.
P
Bado Lema na Halima Mdee Soon wapinzani wote wataitwa CCM then 2020 CCM watashindana wao kwa wao kwenye kula za maoni...As days go by, idadi ya wanasiasa wa upinzani wanaojitambua, inazidi kuongezeka, leo
Cecil Mwambe amejitambua rasmi.
P
Kwahiyo mnaamini kina E.L na Sumae ,sasa ni wasafi? , Hamtawafanyia tena FIGISU za KUTAIFISHA MALI ZAO?,Wenye akili wamebaini ugonjwa mkubwa wa chama kikuu cha upinzani ni wao kujigeuza kuwa chombo cha utakatishaji wa mafisadi.
Ukiwa mchafu, hamia chadema...you will be washed and become as white as snow! Sad
Kiukweli mtu aliyesomea MD halafu anakuja kufanya masters ya PR na alikuwa na PR mbovu vile, huyu mwacheni aende tuu, ana very impressive CV lakini delivery ni bure kabisa!.2008 - 2010 Evin School of Management (Shahada ya Uzamili (Masters) ya Public Relations (CSR)