Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Kamanda unasemaje?Huenda kamati kuu ya Chadema nayo ikatangaza kujiunga CCM
Kuna watu mnaona mbali!. Nyalandu ni mjumbe wa CC ya Chadema. Bado kuna wajumbe wengine wawili nao watarejea!
Msiwabeze, wana macho na wanaona.
P
 
Mkuu Kituko , hapa ni katika kukumbushana tuu, hoja hii niliirudia hapa
Naamini umeona kilichotokea!.

P
Ukweli ni kwamba CCM haikurudisha jimbo hata moja, bali Hayati Dikteta Magufuli aliamuru (kwa kupitia watu wake aliowateua kwaajili kuutekeleza uovu), kutomtangaza mpinzani yeyote kuwa mshindi wa nafasi yoyote, hata kama mtu huyo amechaguliwa na wananchi.

Kuna wakati, itawekwa wazi, na itatamkwa hadharani kuwa, tangu kuasisiwa kwa Taifa letu, hayati Magufuli ndiye kiongozi mkuu pekee aliyeongoza nchi kwa udikteta wa kiwango cha juu, kuanzia ndani ya chama chake CCM, hadi nje ya chama. Ziaja siku ambapo kulitamka jina hilo itakuwa sawa na kujivunia uovu.

Hakika ilikuwa laana kubwa kwa taifa letu kupitia kwenye uongozi mbaya kiasi kile. Lakini, kama Taifa tumepata funzo kubwa sana.
 
Kuna watu mnaona mbali!. Nyalandu ni mjumbe wa CC ya Chadema. Bado kuna wajumbe wengine wawili nao watarejea!
Msiwabeze, wana macho na wanaona.
P
Nyalandu alikimbia ccm sababu ya Magufuli. Magufuli kaondoka, nyalandu anarejea. Hizi habari za fulani karejea ccm wala hazina maana yoyote. Ni hadithi ya wachumia tumbo
 
Ukweli ni kwamba CCM haikurudisha jimbo hata moja, bali Hayati Dikteta Magufuli aliamuru (kwa kupitia watu wake aliowateua kwaajili kuutekeleza uovu), kutomtangaza mpinzani yeyote kuwa mshindi wa nafasi yoyote, hata kama mtu huyo amechaguliwa na wananchi.

Kuna wakati, itawekwa wazi, na itatamkwa hadharani kuwa, tangu kuasisiwa kwa Taifa letu, hayati Magufuli ndiye kiongozi mkuu pekee aliyeongoza nchi kwa udikteta wa kiwango cha juu, kuanzia ndani ya chama chake CCM, hadi nje ya chama. Ziaja siku ambapo kulitamka jina hilo itakuwa sawa na kujivunia uovu.

Hakika ilikuwa laana kubwa kwa taifa letu kupitia kwenye uongozi mbaya kiasi kile. Lakini, kama Taifa tumepata funzo kubwa sana.
Kwa vile ametangulia mbele ya haki, wether he was a real dictator or a benevolent one, it's now, immaterial because he is gone forever, naomba tusimzungumze kwa ubaya, let him rest in peace.
P
 
Wanabodi.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.
Pasco issue ya double standard ndio unaijua leo??

Uchafuzi wa box la kura last October ulikua ni aibu sana ila hukujali pesa iliyopotezwa huku mshindi akijulikana kabla ya uchaguzi na pesa za walipa kodi kupotea bila sababu...

I think you should be ashamed of yourself ! Accept that you have lost your credibility and move
Mkuu Matrix19 , karibu pande hizi, uangalie hayo niliyasema lini, sio kuwa tulinyamaza na hatukusema, kama ni kusema, tumesema sana!.

IMG_20201028_173703.jpg
Pasco nadhani ifike muda uwe realistic kwa hali hii unaachaje kuwa na walakini kuhusu ushindi ule??

Kama kulikua na kukubalika sababu za kuzima mitandao ya kijamii yapata siku 6 ilikua na tafsiri gani?
 
Wanabodi.
Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.
Wewe nimsaka tonge tuu
Wewe ni msakatonge tuu ungekuwa unaguswa na haya maovu usingejiunga kugombea kupitia Chama cha maangamizi...
husimamii haki na hojazako humu huwa za kinafiki hunyooshagi maelezo makusudi ili wakuone unawaunga mkono
Mkuu kirengased, CCM usikiite ni chama cha maangamizi, CCM ni chama tawala!. Hivyo kwa mtu yoyote anayesaka future in politics in Tanzania, chama cha kujiunga nacho chenye uhakika wa fursa ni kimoja tuu, the one and only CCM!.
P
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja,
Paskali
Kumbe kama kuna mambo makubwa aliyasema na yakatokea
Kumbuka hata biblia imesema Yesu atarudi, hadi sasa ni miaka 2000+ hajaonekana ila bado watu wanaamini na kuifuata.

Sijui wewe unayepi ya maana umeyasema na yakatokea yote hapo hapo? Pascal Mayalla
Mkuu Nzwangendaba, kwanza hongera kwa jina zuri, linafanana na yule kiongozi wa Wangoni kutoka Africa Kusini kuja kuhamia Tanzania, Zongendamba.

Karibu mitaa hii, angalia tuu tarehe ya bandiko ni la lini na nini kilikuja kutokea.
P
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.

Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Naona kipindi hiki Wasukuma mlimsahau hata Mungu kama yeye ndio Alpha na Omega, mkaanza kumuabudu mungu fake wa Chato.

Mungu halisi aliye hai hakutuacha tuangamizwe na shetani mmoja dhaifu kutoka chato, Mungu wa kweli ameikombowa nchi bila umwagaji damu.
 
Naona kipindi hiki Wasukuma mlimsahau hata Mungu kama yeye ndio Alpha na Omega, mkaanza kumuabudu mungu fake

Mungu halisi aliye hai hakutuacha tuangamizwe na shetani mmoja Mungu wa kweli ameikombowa nchi bila umwagaji damu.
Its not fair kuita watu mashetani. Ni Mungu ndiye anaweka serikali za mataifa. Jamaa alikuwa mtu wa Mungu. Baada ya kupewa urais, aliomba apewe madaraka makubwa zaidi, na Mungu hana hiyana akamuita ila sijui kama aliisha mpa hayo mamlaka, siku akimpa tutajua maana ataifunga hii ninaniliu!.

Dhulma baba dhulma.

Jiwe alidhulumu saaana na nyinyi mkifurahia uongozi wake mpka mkawa mnacheka kila baya alilokuwa analifanya kisa anafanyiwa mpinzani. Dunia si yetu na kila ulichokichuma utakwenda kukikuta.

Kama alisema akachaguliwe awe kiongozi wq malaika haya.
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading.
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.
Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja,

Paskali
Paskali ni kiboko, yaani sijui anapataje hizo habari. Kasema Magu atakuwa rais, akasema Samia atakuwa, halafu akawa, akasema Lema atakimbilia Canada ikawa, akasema Spika au subwoofer atafukuzwa na ikawa, akasema yule Tulia, atakuja kutulia pale kwenye bunge, sasa anakuja kuwa.
Mimi sio mtabiri wala sio mbashiri, ni trends reader.
p
 
Mkuu kirengased, CCM usikiite ni chama cha maangamizi, CCM ni chama tawala!. Hivyo kwa mtu yoyote anayesaka future in politics in Tanzania, chama cha kujiunga nacho chenye uhakika wa fursa ni kimoja tuu, the one and only CCM!.
P
Kwa hiyo Pasco unatuambia kwamba kila mtu anatakiwa kua CCM? tukishakua ccm wote then itakuwaje hii nchi? maana kama hata wasomi wenye weledi kama nyie mnasifia tu hata ujinga sijui nani ataisemea hii nchi... huyo jamaa aliharibu nchi huo ndio ukweli haya mengine ni ubatili na njaa zenu zinawasumbua... Na mjue kwamba tukiwa CCM wote basi hapatakalika humo ndani
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.

Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Huwa nakusoma makala zako naelewa kwa nini watu wengi wamekushusha heshima.

Ingawa wewe ni mwandishi mkongwe na pia mwanasheria ila umeshindwa kuappreciate rule of law ukampraise Magufuli kwa uhuni alioufanya.

Sitaki kuamini kwamba by the time unaandika hii makala ulikuwa hujui uhuni alioufanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na ndio ilitoa picha halisi ya uchaguzi wa majimbo ili kuunda serikali kuu.

Hii ndio aina ya waandishi ambao Hayati mzee Mkapa aliwaita Makanjanja na mkachukia kweli na alisisitiza ukanjanja wenu upo wapi.

Pasco ukishindwa kumkosoa poti wako Magufuli pale alipoonekana amekosea sana na anavunja Katiba kwa kuteua wakurugenzi wa Halmashauri ambao ndio wasimamizi wakuu wa vituo vya kupiga kura na especially pale alipotoa maelekezo waziwazi yenye vitisho kwamba "nikulipe mie mshahara halafu uchague mtu ambaye sio wa CCM" hii uliona ni sawa kabisa.

Kuna wakati nakuona wewe na Polepole hamna tofauti ingawa mmoja alipata kula sahani moja na mkuu na mwingine alikula makombo mlangoni akinyang'anyana na mbwa akitarajia siku moja nae atakumbukwa na tajiri nae atakaa mezani kutafuna vinono.

Kama msomi wa sheria Tena UDSM sifurahishwi na kuona msomi kama wewe unaona faults kwenye utawala Tena fault za kikatiba na unakaa kusifia kabisa kufa kwa upinzani kimabavu namna Ile.

Hii kaliba yako ndio inayokusaliti sana unaonekana wewe ni mtu usiyekuwa na msimamo unafuata upepo kwa kupiga mapambio.

Unatoa wapi nguvu ya kusema Viva Magufuli kwa kuua upinzani kwa kutumia despotism? Kama una uhakika upinzani utakufa wekeni neutral ground ya uchaguzi muone kitakachowakuta msijisifie kushinda Vita kwa staged robotics.

Wekeni Katiba mpya itakayotambua neutral ground kwa kuestablish institution zitakazokuwa huru bila kuingiliwaau kuingilia uchaguzi wao wasimamie ana kuhesabu kihalali na atakayeshinda atangazwe myashangaa hata mawe yatashinda as long yanashindana na mtu wa CCM.

I'm so much dismayed by your nepotism.
 
Mimi sio mtabiri wala sio mbashiri, ni trends reader.
p
It wasn't even a trend haya mambo yalipangwa na ilikuwa wazi kabisa but ukajifanya unatabiri ingali unajua kabisa misingi ya rule of law.

Wewe ni mtu hatari sana, unasifia kabisa eti Viva Magufuli ilimradi akuteue tu ingali unaona kabisa anakiuka misingi ya Katiba.

Wadanganye wajinga aisee, huna tofauti na Polepole kwa hiyo umefurahi kilichofanyoka 2020 kwenye uchaguzi sio?

Na mlimsifia mpaka akalewa sifa na ikamuua. La mgema likisifiwa sana tembo hutia maji.
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la uchaguzi wa 2020, limetokea.

P
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali,

Huyu binti na yeye leo kaona mbali!.
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.

Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.

Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.

Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.
P
 
Wanabodi.
Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. .

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.
Hata Mchungaji Msigwa asibezwe!.
P
 
Back
Top Bottom