Wanaohitaji bidhaa kutoka China kwa bei ya jumla.

Wanaohitaji bidhaa kutoka China kwa bei ya jumla.

@Hornet sijakuelewaa, jumla nachukua elf 30 zikiwa 12, reja reja nauza 4000k, unamaanisha hapo ni ngumu kuuza kulinganisha na quality zake?
Pengine customers wako wanaweza kununua ila kwa mazingira ya kawaida na ambayo ndiyo population kubwa wanapenda cheap bila kujali material yake.
 
Hapa nimekuelewaaa
Ndiyo maana nikamuuliza mleta mada
Haiwezekani kupata kwa bei ya chini zaidi ya hiyo?
Yaani kuwe na options na unamwambia mtu kabisa kuhusu materials na bei zake?
Naona nae hakunielewa
 
Vip chimbo la jeans nzuri mpyaa, m ninachukua kwa elf 17
 
Ndiyo maana nikamuuliza mleta mada
Haiwezekani kupata kwa bei ya chini zaidi ya hiyo?
Yaani kuwe na options na unamwambia mtu kabisa kuhusu materials na bei zake?
Naona nae hakunielewa
Yaaaps na ikumbukwe kinachomshawish mtu kubadilisha soko ni unafuu zaidi
 
Kariakoo chupi moja ni 500
Na kwa uchumi huu tunaangalia za bei nafuu zaidi
Naamini huwezi kuvaa chupi ya shilingi 500 au hata kumvalisha mwanao, kwa Joto hili la dar utapata fangus daily maana quality zake ni poor na sio cotton 100%, atlist chupi ya kuanzia sh 3000 na kuendelea ila sio ya 500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huwezi kuvaa chupi ya shilingi 500 au hata kumvalisha mwanao, kwa Joto hili la dar utapata fangus daily maana quality zake ni poor na sio cotton 100%, atlist chupi ya kuanzia sh 3000 na kuendelea ila sio ya 500

Sent using Jamii Forums mobile app
Kbsaaa, mm sikutaka kumbishia sana maana kila mtu na mtazamo/maisha yake ila kweli chupi ya mia 500 kweli hali ni ngumu ila ni wachache sana wanazavaa tena kwa Dar,

La sivyo ukiivua kabla haijafka magotini ushapiga chafya km 14 hv za fasta fasta ukimaliza hapo ukatafte dawa ya Fluu
 
Tuambie chimbo lilipo basi nasi tuende
Mm k. Koo n mzoefu ila majina ya mitaa ndio nashindwa kukikariri, ila kwa ufupi ukiingilia hapa kituo cha mwendo kasi cha msimbazi/ polisi nyooosha mbele kabla hujafka soko kuu upande wa kulia maduka ya chini
 
Mimi nimeenda na gharama za boxer za kiume plus chupi na boxer za watoto hakika wafanyabiashara wengi wanapata faida ya kutosha...

Karibu!
Raha ya biashara uchukue mzigo wa jumla hata ukiuuza jumla na wewe unatoka haraka return inakuwa kwa muda mfupi
 
Hizi Vest mm nachukua kwenye machimbi ya ndani ndani 9500k, na hizi ndio quality huwezi linganisha hizi na polo, super n.k, na hata bei hutofautianaView attachment 1021242

Hello
Yarrison Vest kwa Tsh 30,000 kwa dozen ( 12pcs)
Ukichukua Dozen 100 na kuendelea

Yarrison men underwear Tsh 28,000 kwa dozen
Ukichukua Dozen 200
WhatsApp +8618857052304
 

Attachments

  • IMG_8773.JPG
    IMG_8773.JPG
    74.1 KB · Views: 54
  • IMG_8771.JPG
    IMG_8771.JPG
    296.2 KB · Views: 59
Vip chimbo la jeans nzuri mpyaa, m ninachukua kwa elf 17

WhatsApp me dear +8618857052304
Kama unahitaji Jeans kwa wingi na kwa bei chweee
Wachina wanataka ununue pieces nyingi upate bei ya sokoni ya jumla!
 
Back
Top Bottom