Pengine customers wako wanaweza kununua ila kwa mazingira ya kawaida na ambayo ndiyo population kubwa wanapenda cheap bila kujali material yake.@Hornet sijakuelewaa, jumla nachukua elf 30 zikiwa 12, reja reja nauza 4000k, unamaanisha hapo ni ngumu kuuza kulinganisha na quality zake?
Hapa nimekuelewaaaPengine customers wako wanaweza kununua ila kwa mazingira ya kawaida na ambayo ndiyo population kubwa wanapenda cheap bila kujali material yake.
Ndiyo maana nikamuuliza mleta madaHapa nimekuelewaaa
Yaaaps na ikumbukwe kinachomshawish mtu kubadilisha soko ni unafuu zaidiNdiyo maana nikamuuliza mleta mada
Haiwezekani kupata kwa bei ya chini zaidi ya hiyo?
Yaani kuwe na options na unamwambia mtu kabisa kuhusu materials na bei zake?
Naona nae hakunielewa
Hornet nitakuja inbobo maana kichwa chako hicho aiseee ni shidaaaaaChupi kwa bei hiyo kuiuza utachina manake wateja wengi wananunua za bei za chini hasa ikishakuwa ya mtoto bora walau watu wazima wananunua hata za 5000 moja
Upo sahihiPengine customers wako wanaweza kununua ila kwa mazingira ya kawaida na ambayo ndiyo population kubwa wanapenda cheap bila kujali material yake.
Aisee nafanya hesabu kwa boxer za kiume naona wafanyabiashara wengi wanapata faida kwelikweli...
KaribuHornet nitakuja inbobo maana kichwa chako hicho aiseee ni shidaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini huwezi kuvaa chupi ya shilingi 500 au hata kumvalisha mwanao, kwa Joto hili la dar utapata fangus daily maana quality zake ni poor na sio cotton 100%, atlist chupi ya kuanzia sh 3000 na kuendelea ila sio ya 500Kariakoo chupi moja ni 500
Na kwa uchumi huu tunaangalia za bei nafuu zaidi
Tuambie chimbo lilipo basi nasi tuendeHizi Vest mm nachukua kwenye machimbi ya ndani ndani 9500k, na hizi ndio quality huwezi linganisha hizi na polo, super n.k, na hata bei hutofautianaView attachment 1021242
Kbsaaa, mm sikutaka kumbishia sana maana kila mtu na mtazamo/maisha yake ila kweli chupi ya mia 500 kweli hali ni ngumu ila ni wachache sana wanazavaa tena kwa Dar,Naamini huwezi kuvaa chupi ya shilingi 500 au hata kumvalisha mwanao, kwa Joto hili la dar utapata fangus daily maana quality zake ni poor na sio cotton 100%, atlist chupi ya kuanzia sh 3000 na kuendelea ila sio ya 500
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm k. Koo n mzoefu ila majina ya mitaa ndio nashindwa kukikariri, ila kwa ufupi ukiingilia hapa kituo cha mwendo kasi cha msimbazi/ polisi nyooosha mbele kabla hujafka soko kuu upande wa kulia maduka ya chiniTuambie chimbo lilipo basi nasi tuende
Chupi 500!!!!Kariakoo chupi moja ni 500
Na kwa uchumi huu tunaangalia za bei nafuu zaidi
Mimi nimeenda na gharama za boxer za kiume plus chupi na boxer za watoto hakika wafanyabiashara wengi wanapata faida ya kutosha...
Hizi Vest mm nachukua kwenye machimbi ya ndani ndani 9500k, na hizi ndio quality huwezi linganisha hizi na polo, super n.k, na hata bei hutofautianaView attachment 1021242
Inamaana huo mzigo unakuwa hauna KODI na gharama nyingine kama vile usafiri na nk.
Sent using Jamii Forums mobile app