Kbsaaa, mm sikutaka kumbishia sana maana kila mtu na mtazamo/maisha yake ila kweli chupi ya mia 500 kweli hali ni ngumu ila ni wachache sana wanazavaa tena kwa Dar,
La sivyo ukiivua kabla haijafka magotini ushapiga chafya km 14 hv za fasta fasta ukimaliza hapo ukatafte dawa ya Fluu
Naamini huwezi kuvaa chupi ya shilingi 500 au hata kumvalisha mwanao, kwa Joto hili la dar utapata fangus daily maana quality zake ni poor na sio cotton 100%, atlist chupi ya kuanzia sh 3000 na kuendelea ila sio ya 500
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi Vest mm nachukua kwenye machimbi ya ndani ndani 9500k, na hizi ndio quality huwezi linganisha hizi na polo, super n.k, na hata bei hutofautianaView attachment 1021242
Mzee pure cotton? Kumbuka zipo tatu, means moja ni kama 32009,500k mbona gharama ni kubwa sana?
Mzee pure cotton? Kumbuka zipo tatu, means moja ni kama 3200
Hahaaaaaa, kwelii hio sikupaswa kuweka maana ukiweka K umeua Sifuri tatu, 1,000 = 1KAhaa! Hapo sawa. Hiyo k uliyoweka mwishoni ndio ilinichanganya. Nilielewa milioni kadhaa.
Kumbe ulikuwa unaona tunabishana!Kbsaaa, mm sikutaka kumbishia sana maana kila mtu na mtazamo/maisha yake ila kweli chupi ya mia 500 kweli hali ni ngumu ila ni wachache sana wanazavaa tena kwa Dar,
La sivyo ukiivua kabla haijafka magotini ushapiga chafya km 14 hv za fasta fasta ukimaliza hapo ukatafte dawa ya Fluu
Kama mtaji wako ni mdogo ni bora ununulie hapa hapa, utofauti wa bei unatokana na mtaji, mwenye mtaji mkubwa anauziwa kwa bei rahisi sana kwa kuwa anachukua mzigo mkubwa tena ananunua kiwandani sio kwa wachuuzi, Mkifika sokoni yy atakuwa na faida kwa kuwa amenunua kwa bei ndogoHongera sana
Ila nimepiga hesabu hapo kwa chupi moja itakuja 750x12 =9000
Na kwa kariakoo zinauzwa kuanzia 5000 mpaka 8000 hivi,
Je hii tofauti ya bei inasababishwa na nini na zote zinatoka china?
Kuna namna ya kupata kwa price ya chini zaidi?
So hapa ina maana 30/12= bei elekezi hapa!? Kabla ya kuongeza bei ya faida?Hello
Yarrison Vest kwa Tsh 30,000 kwa dozen ( 12pcs)
Ukichukua Dozen 100 na kuendelea
Yarrison men underwear Tsh 28,000 kwa dozen
Ukichukua Dozen 200
WhatsApp +8618857052304
So hapa ina maana 30/12= bei elekezi hapa!? Kabla ya kuongeza bei ya faida?
Sent using Jamii Forums mobile app