Uyoga mkuu mara ya mwisho kuona mtu anakula ni Kigoma nilikua najua hakuna tena, kule kijijini kwetu ilikua inaota sana na pia tulikua tunasema ni viti vya mashetani.Ndio mkuu uyoga ..au kuna kitu zaidi ungependa kufahamu?? Piga simu hapo nimeweka jiskie huru
Hapo hata waliokuwa hatuli tutajitahidi tuleUmesahau kuwaambia kuwa Oyster mbali na kuwa ni chakula, pia inaongeza nguvu za kiume mara dufu