Wanaohitaji uyoga fresh kutoka shambani

Wanaohitaji uyoga fresh kutoka shambani

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,578
Reaction score
1,894
Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako
Kilo moja ni tsh 12,000 nusu ni 6,000 .kwa maelezo zaidi piga namba hizo hapo juu.asante
 
Ndio mkuu uyoga ..au kuna kitu zaidi ungependa kufahamu?? Piga simu hapo nimeweka jiskie huru
Uyoga mkuu mara ya mwisho kuona mtu anakula ni Kigoma nilikua najua hakuna tena, kule kijijini kwetu ilikua inaota sana na pia tulikua tunasema ni viti vya mashetani.
 
Umesahau kuwaambia kuwa Oyster mbali na kuwa ni chakula, pia inaongeza nguvu za kiume mara dufu
 
Back
Top Bottom