Biomedical wanasomaPCM unaweza soma course yeyote isipokua field za biology
[emoji867]Jikite kwenye hoja.
Walimu wa Math and Physics
Swali ni PCM wanaweza kusoma kozi gani sio PCM wanaosoma Uandisi wanaenda wapi au wanaopanga kusoma uandisi wanaishia wapi?Huu ndio ukweli mchungu maana wengine watasema ni dharau lakini si dharau.
Uzoefu unaonesha wengi wamekuwa wakitegemea kwenda kuendelea na kozi ya Uandisi lakini Ndiyo zao zimekuwa zikipotea na kuishia kusoma ualimu wa hesabu na fizikia.
Mleta mada umeomba ushauri watu wanakupa uzoefu.
Jipange ukitaka uhandisi ukapige msuli hasa na ufaulu ukawe wa juu la sivyo habari itakuwa hiyo ya “haki elimu” [emoji348]
Hata PCB ni hivyo hivyo wengi huzani wataenda udaktari badae inakuwa sivyo.