Wanaohitimu PCM wanaweza kusoma kozi gani?

Walimu wa Math and Physics

Huu ndio ukweli mchungu maana wengine watasema ni dharau lakini si dharau.

Uzoefu unaonesha wengi wamekuwa wakitegemea kwenda kuendelea na kozi ya Uandisi lakini Ndiyo zao zimekuwa zikipotea na kuishia kusoma ualimu wa hesabu na fizikia.

Mleta mada umeomba ushauri watu wanakupa uzoefu.

Jipange ukitaka uhandisi ukapige msuli hasa na ufaulu ukawe wa juu la sivyo habari itakuwa hiyo ya “haki elimu” [emoji348]

Hata PCB ni hivyo hivyo wengi huzani wataenda udaktari badae inakuwa sivyo.
 
Swali ni PCM wanaweza kusoma kozi gani sio PCM wanaosoma Uandisi wanaenda wapi au wanaopanga kusoma uandisi wanaishia wapi?
Ukweli ni kuwa sio kozi za uandisi pekee, PCM ndiyo mchepuo hapa nchini unaompa mwanafunzi machaguo mengi ya kozi za kusoma chuoni. Inampa mwanafunzi nafasi ya kusoma kozi zilizo katika Sayansi Asilia, Teknolojia, Sayansi ya Jamii, Biashara, nk.
NB: Elimu yetu ya ngazi za chini (Shule ya Msingi na Sekondari) ilitakiwa iwe na mafundisho maalumu kwa wanafunzi kuwajuza nini unaweza kusoma chuoni unaposoma mchepuo fulani shuleni.
 
Back
Top Bottom