comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha, magorofa kibao, mbunge wa muda tu, lakini yupo simple, anaishi na watu wake.