Wanaohusika na Uwanja wa Taifa waone aibu kuhusu vyoo

Wanaohusika na Uwanja wa Taifa waone aibu kuhusu vyoo

Uwanja wa taifa upi ? Manake wameweka miwili sehem moja
Utakua si mwendaji mpirani, pale uwanja wa Taifa ni mmoja tu, huu uliokarabatiwa na kukabidhiwa hifi karibuni unaitwa uwanja wa UHURU. Ule mkubwa ndiyo unaoitwa uwanja wa TAIFA, nadhani umeelewa.
 
Waziri Nape, imefika wakati kua na kurugenzi ya viwanja inayojitegemea
 
Back
Top Bottom