Tamama JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 887 Reaction score 1,106 Aug 31, 2016 #21 kweli aisee
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Aug 31, 2016 Thread starter #22 MduduWashawasha said: Uwanja wa taifa upi ? Manake wameweka miwili sehem moja Click to expand... Utakua si mwendaji mpirani, pale uwanja wa Taifa ni mmoja tu, huu uliokarabatiwa na kukabidhiwa hifi karibuni unaitwa uwanja wa UHURU. Ule mkubwa ndiyo unaoitwa uwanja wa TAIFA, nadhani umeelewa.
MduduWashawasha said: Uwanja wa taifa upi ? Manake wameweka miwili sehem moja Click to expand... Utakua si mwendaji mpirani, pale uwanja wa Taifa ni mmoja tu, huu uliokarabatiwa na kukabidhiwa hifi karibuni unaitwa uwanja wa UHURU. Ule mkubwa ndiyo unaoitwa uwanja wa TAIFA, nadhani umeelewa.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Aug 31, 2016 #23 Waziri Nape, imefika wakati kua na kurugenzi ya viwanja inayojitegemea