Wanaoichukia Simba kubalini tu maumivu, Al Ahly atawaangusha!

Wanaoichukia Simba kubalini tu maumivu, Al Ahly atawaangusha!

zeuman

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
265
Reaction score
501
Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!

Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia!

Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo wasizikimbie nyuzi zao za uchuro walizozifungua!
 
Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki!! Leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!!
Hii itapelekea wanaoichukia simba kuumia sana!! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia!! Niwaombe tu akina laban og, Nalia Ngwena, Genta nani vile? na wengineo wasizikimbie nyuzi zao walizozifungua za uchuro!!
Bado dakika 45
 
Sisi wengine tunaipenda Simba Ila tukiangalia upangaji wa timu tunajiandaa kisaikolojia.
 
Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!

Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia!

Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo wasizikimbie nyuzi zao za uchuro walizozifungua!
Ni kweli Ahly akishinda 3-0 au 4-0 tu atakuwa katuangusha kweli
 
Sisi wengine tunaipenda Simba Ila tukiangalia upangaji was timu tunajiandaa kisaikolojia.
Kocha wetu tukubali ni tatizo!! Ila kwa sasa hatuna jinsi maana ndiye anayeshikilia mikoba!! Lakini pia full backs zetu ndo zinaishia hivyo, hasa Kapombe!! Ila pam oja na yote hayo, bado Simba inaweza kupenya!!
 
Tupo tutaona. Mpira unadunda sawa ila simba wajipange vizuri watatoboa. Au watembeze bahasha
 
Back
Top Bottom