Bado dakika 45Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki!! Leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!!
Hii itapelekea wanaoichukia simba kuumia sana!! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia!! Niwaombe tu akina laban og, Nalia Ngwena, Genta nani vile? na wengineo wasizikimbie nyuzi zao walizozifungua za uchuro!!
Ni kweli Ahly akishinda 3-0 au 4-0 tu atakuwa katuangusha kweliNawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!
Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia!
Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo wasizikimbie nyuzi zao za uchuro walizozifungua!
Kocha wetu tukubali ni tatizo!! Ila kwa sasa hatuna jinsi maana ndiye anayeshikilia mikoba!! Lakini pia full backs zetu ndo zinaishia hivyo, hasa Kapombe!! Ila pam oja na yote hayo, bado Simba inaweza kupenya!!Sisi wengine tunaipenda Simba Ila tukiangalia upangaji was timu tunajiandaa kisaikolojia.