mpeleke mabwepande kule kumetulia sana
kweli boom limetema yaani unataka nje ya dar es salaam ulipe buku 20? wewe mfanyakazi au mwanafunzi? mpeleke kibamba mkuu au mile moja. kule chumba cha elfu 10 kina hadi a/c. zipo sehemu kibao tu wewe ukifika utajua hukohuko naamin wewe ni mwanaume.
La Paloma guest house, karibu na Meeda bar.
mpeleke mabwepande kule kumetulia sana
Kaka pale wamepandisha hadi 20,000/-labda aende kule karibu na BLUE BIRD... kuna tu~GUEST twa 15,000/- au aende Guest za Chanika 5000/-
duuh!!
Aiseee...kumbe wamepandisha!! Si habari njema kabisa hizo.
Kitu tent
kisikie tu
lote linayumba
kama kuna jirani lazima akeshe nje
mkuu,tunashare cost bana,ucogope!