Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Ebana,kuna mtoto nimempata hapa chuo,ye kwao ni hapa hapa dsm,sa kanambia ka nataka kumbanjua bac nitafute sehemu ambayo iko nje kdogo ya mji,so wakuu mnaoijua dar vzr, ebu nipeni mwongozo,ni sehemu gani hapa dar ambayo iko chimbo zuri na gharama zake zisizidi buku 20 kwa usiku mmoja?over
 
kweli boom limetema yaani unataka nje ya dar es salaam ulipe buku 20? wewe mfanyakazi au mwanafunzi? mpeleke kibamba mkuu au mile moja. kule chumba cha elfu 10 kina hadi a/c. zipo sehemu kibao tu wewe ukifika utajua hukohuko naamin wewe ni mwanaume.
 
mkuu,tunashare cost bana,ucogope!
 
atakua jini uyo anataka kukunyonya damu,ukienda nje ya mji imekula kwako hurudi tena anza kuaaga kabisa
 
mkuu,tunashare cost bana,ucogope!

basi kama mnachangia garama pelekaneni DEFRANCE Sinza. Ukitaka kula nguruwe chagua aliye nona bana. Huyo demu atakuwa ana mabwana wengi dar anaogopa asigongane nao. au anahofia unaweza kumpiga sangi sababu wanafunzi hamna dogo. toka nae jioni jioni mwende pale defrance mule maraha. Mi ningemwambia tutoe gundu kwanza halafu tukishatulia ndo twende nje ya dar. Ukimfikisha pale ataeleweka tu.
 
Back
Top Bottom