wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
liko poa sana. hata ulaji wa mafuta sio mwingi kama wanavyosema... zingatia service. Kwa safari ndefu utalipenda halili mafuta kihivyooo
Asa mkuu Cresta gx100 na MarkII grande gx100, zinatofauti gani zaidi ya muonekano wa bodi?!
mkuu uko sure unatokea geita to mbeya na sio cairo kweli?? 13800kms?Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
mkuu uko sure unatokea geita to mbeya na sio cairo kweli?? 13800kms?
Sent using Jamii Forums mobile app
Engine ya 1g kavu ni imara sana ila inakula sana mafuta na engine ya 1g vvti inahitaji kuijari sana haitaki vitu vya kuungunga ila kwa upande wa mafuta inakula kidogokavu inaubora gani ukitofautisha na vvti, hebu fafanua mzee dingi.
Mashine yako inaendeleaje mkuu?Engine ya 1g kavu ni imara sana ila inakula sana mafuta na engine ya 1g vvti inahitaji kuijari sana haitaki vitu vya kuungunga ila kwa upande wa mafuta inakula kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilomita 13800??Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
Kabisa. Hata Altezza ya 1G Cresta ya 1G haitii mguu.Yaani mkuu ulivoipamba, hizo gari zote ulizozitaja zipo zenye hio mashine. Na hizo cresta zipo zenye 1jz. hio cresta ikikutana na Altezza 3sge analazwa chali kifo cha mende.
Uzuri wa 1gfe kama ni mtu wa safari ndefu utaenjoy unywaji wake wa mafuta. ni mzuri sana
Mkuu, kama barabara ni nzuri, highway sio kipimo kizuri kwa ubora au ugumu wa gari. Maana kiuhalisia, engine na gearbox za gari zinakuwa relaxed saana kwenye highway kuliko matumizi ya mjini, ndio maana unaona hata ulaji wa mafuta wa highway ni mdogo kuliko mjini.Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
Kenya wana Nissan centre na isuzu centre kabisa. Bongo gari nyingi ziko barabarani hazijawa na platform nyingi kitaa kwenye ufundi na spares, miaka si mingi nyuma ilikua hadi spares ama taa za gari kama alteza ambayo ni toyota mtu anaagiza Nairobi!! Gari mingi kama Honda, Audi, Porsche, na Subie ziko bongo wengi wanaziogopa sbbu ya spares na mafundi wakati kenya zimejaa na centers za maduka Yao zimejaa sparesKwa bongo Nissan naona mafundi wengi hawazijulii tofauti na Kenya (hasa Nairobi nimeona Nissan na Isuzu za kutosha)
Kabisa. Hata Altezza ya 1G Cresta ya 1G haitii mguu.
Kuna kitu wanaita power to weight ratio. Yaani uwiano wa nguvu za engine na uzito wa gari. Cresta ni nzito kuliko Altezza (salon). Hivyo hata kama zina engine moja, kwenye Cresta engine inakuwa na mzigo mkubwa kusukuma gari kuliko kwenye kwenye Altezza yenye uzito mdogo, matokeo yake, kwenye Cresta, engine inazalisha horsepower chache (138hp) kuliko Altezza (154hp).Kwanini haitii mguu wkt zote ni 1g na Cc sawasawa?
Au weight ya gari inachangia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unalitamani ila hela Huna labda uendelee kupiga puli maana ndo kilichopo ndani ya uwezo wakoHili dude hata Mimi hulitàmani iko siku nitalichukua tu. Huwa sipendi kushindwa kiboya boya .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu wanaita power to weight ratio. Yaani uwiano wa nguvu za engine na uzito wa gari. Cresta ni nzito kuliko Altezza (salon). Hivyo hata kama zina engine moja, kwenye Cresta engine inakuwa na mzigo mkubwa kusukuma gari kuliko kwenye kwenye Altezza yenye uzito mdogo, matokeo yake, kwenye Cresta, engine inazalisha horsepower chache (138hp) kuliko Altezza (154hp).
Gari lenye uzito kidogo linakuwa rahisi kwa engine kulisukuma kwa kasi zaidi, kuliko lenye uzito mkubwa. Ndio maana magari ya kukimbia saana wanajaribu kupunguza uzito kwa kutumia material nyepesi kama aluminium au carbon fibre ambaye ni nyepesi zaidi kuliko steel ambayo gari nyingi za kawaida zinatumia.
Hizo gari zinafanana mambo mengi saana. Labda tofauti itakuwa kwenye tuning tu, japo kuna Atlezza zina a 5 speed automatic gearbox, na manual zote ni 6 speed. Wakati Cresta zote ziliishia 4 speed automatic na manual ni 5 speed. Pia kama umeshafuatilia vizuri, kwenye Altezza (auto), gia namba 3 inachukua muda kidogo kushift kwenda 4 kuliko kwenye Cresta. Hii inasaidia kuchanganya haraka. Kingine ni suspension setup, ambapo ya Cresta iko upande wa comfort zaidi as opposed to sporty za kwenye Altezza. Na upande wa nyumba sidhani kama Cresta in double wishbone suspension.Thnxs mkuu,hio concept naifahamu ila i thought kuna sababu nyingine za kiufundi za kufanya gari hizo kutofautiana kwny mambio.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna Mitsubishi fulani nimeiona Arusha ina namba za Kenya.Kwa bongo Nissan naona mafundi wengi hawazijulii tofauti na Kenya (hasa Nairobi nimeona Nissan na Isuzu za kutosha)