Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

liko poa sana. hata ulaji wa mafuta sio mwingi kama wanavyosema... zingatia service. Kwa safari ndefu utalipenda halili mafuta kihivyooo
Asa mkuu Cresta gx100 na MarkII grande gx100, zinatofauti gani zaidi ya muonekano wa bodi?!
Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
mkuu uko sure unatokea geita to mbeya na sio cairo kweli?? 13800kms?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
Kilomita 13800??
 
Yaani mkuu ulivoipamba, hizo gari zote ulizozitaja zipo zenye hio mashine. Na hizo cresta zipo zenye 1jz. hio cresta ikikutana na Altezza 3sge analazwa chali kifo cha mende.

Uzuri wa 1gfe kama ni mtu wa safari ndefu utaenjoy unywaji wake wa mafuta. ni mzuri sana
Kabisa. Hata Altezza ya 1G Cresta ya 1G haitii mguu.
 
Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
Mkuu, kama barabara ni nzuri, highway sio kipimo kizuri kwa ubora au ugumu wa gari. Maana kiuhalisia, engine na gearbox za gari zinakuwa relaxed saana kwenye highway kuliko matumizi ya mjini, ndio maana unaona hata ulaji wa mafuta wa highway ni mdogo kuliko mjini.
 
Kwa bongo Nissan naona mafundi wengi hawazijulii tofauti na Kenya (hasa Nairobi nimeona Nissan na Isuzu za kutosha)
 
Kenya wana Nissan centre na isuzu centre kabisa. Bongo gari nyingi ziko barabarani hazijawa na platform nyingi kitaa kwenye ufundi na spares, miaka si mingi nyuma ilikua hadi spares ama taa za gari kama alteza ambayo ni toyota mtu anaagiza Nairobi!! Gari mingi kama Honda, Audi, Porsche, na Subie ziko bongo wengi wanaziogopa sbbu ya spares na mafundi wakati kenya zimejaa na centers za maduka Yao zimejaa spares

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini haitii mguu wkt zote ni 1g na Cc sawasawa?

Au weight ya gari inachangia?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna kitu wanaita power to weight ratio. Yaani uwiano wa nguvu za engine na uzito wa gari. Cresta ni nzito kuliko Altezza (salon). Hivyo hata kama zina engine moja, kwenye Cresta engine inakuwa na mzigo mkubwa kusukuma gari kuliko kwenye kwenye Altezza yenye uzito mdogo, matokeo yake, kwenye Cresta, engine inazalisha horsepower chache (138hp) kuliko Altezza (154hp).

Gari lenye uzito kidogo linakuwa rahisi kwa engine kulisukuma kwa kasi zaidi, kuliko lenye uzito mkubwa. Ndio maana magari ya kukimbia saana wanajaribu kupunguza uzito kwa kutumia material nyepesi kama aluminium au carbon fibre ambaye ni nyepesi zaidi kuliko steel ambayo gari nyingi za kawaida zinatumia.
 
Thnxs mkuu,hio concept naifahamu ila i thought kuna sababu nyingine za kiufundi za kufanya gari hizo kutofautiana kwny mambio.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Swap hiyo 1g vvti weka 1jzgte

Sent using Sukhoi Su-57
 
Thnxs mkuu,hio concept naifahamu ila i thought kuna sababu nyingine za kiufundi za kufanya gari hizo kutofautiana kwny mambio.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo gari zinafanana mambo mengi saana. Labda tofauti itakuwa kwenye tuning tu, japo kuna Atlezza zina a 5 speed automatic gearbox, na manual zote ni 6 speed. Wakati Cresta zote ziliishia 4 speed automatic na manual ni 5 speed. Pia kama umeshafuatilia vizuri, kwenye Altezza (auto), gia namba 3 inachukua muda kidogo kushift kwenda 4 kuliko kwenye Cresta. Hii inasaidia kuchanganya haraka. Kingine ni suspension setup, ambapo ya Cresta iko upande wa comfort zaidi as opposed to sporty za kwenye Altezza. Na upande wa nyumba sidhani kama Cresta in double wishbone suspension.
 
Kwa bongo Nissan naona mafundi wengi hawazijulii tofauti na Kenya (hasa Nairobi nimeona Nissan na Isuzu za kutosha)
Kuna Mitsubishi fulani nimeiona Arusha ina namba za Kenya.

Naitafuta Model yake sijaipata.

Inafanana na Lancer Evo X ila ni SUV yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom