Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti


Hapo kwny conforty nakubali kabisa Altezza ni ka gari flani kagumu na ukiwa ndani hakuna kunesa kanakua kanadunda dinda barabarani(confo. Is nearly to zero).

kama Altezza auto ina 5 speed gears na manual ni 6 speed gears while cresta ni 4 auto speed na manual ni 5 then hii inamaanisha hata consumption ya Altezza itakua ina afadhali kidogo kuliko ya cresta na kama ni zote ni manual then Altezza is funny kuendesha kuliko Cresta sababu ya 6 speed gears wkt cresta ni 5 speed sio mkuu?




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yes mkuu, ni kweli kabisa. Kadri gear zinavyokuwa nyingi, fuel efficiency inaongezeka. Na Altezza kwa kweli ukipata ile manual utafurahia saana kuendesha. Gear siko spaced vizuri, na inaingia vizuri saana. Nyingi naona automatic, ila nimeendesha manual kidogo ya jamaa yangu, ilikuwa poa saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…