wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hizo gari zinafanana mambo mengi saana. Labda tofauti itakuwa kwenye tuning tu, japo kuna Atlezza zina a 5 speed automatic gearbox, na manual zote ni 6 speed. Wakati Cresta zote ziliishia 4 speed automatic na manual ni 5 speed. Pia kama umeshafuatilia vizuri, kwenye Altezza (auto), gia namba 3 inachukua muda kidogo kushift kwenda 4 kuliko kwenye Cresta. Hii inasaidia kuchanganya haraka. Kingine ni suspension setup, ambapo ya Cresta iko upande wa comfort zaidi as opposed to sporty za kwenye Altezza. Na upande wa nyumba sidhani kama Cresta in double wishbone suspension.
Hapo kwny conforty nakubali kabisa Altezza ni ka gari flani kagumu na ukiwa ndani hakuna kunesa kanakua kanadunda dinda barabarani(confo. Is nearly to zero).
kama Altezza auto ina 5 speed gears na manual ni 6 speed gears while cresta ni 4 auto speed na manual ni 5 then hii inamaanisha hata consumption ya Altezza itakua ina afadhali kidogo kuliko ya cresta na kama ni zote ni manual then Altezza is funny kuendesha kuliko Cresta sababu ya 6 speed gears wkt cresta ni 5 speed sio mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums