Ujue mm nimeshangaa!Bangi mbichi sio nzuri ndugu zangu ona mleta mada vitu alivyoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue mm nimeshangaa!Bangi mbichi sio nzuri ndugu zangu ona mleta mada vitu alivyoandika
Mleta mada anasikitisha sanaUjue mm nimeshangaa!
Umoja wa Hayat' Tahrir Al Sham ndo kitu hicho hicho Hizbu Tahrir auSiku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Waw! Lakini nani kayasema hayo? au ni ww mwenyewe kwa utabiri wako broo.Syria wamechoka na mambo ya vita na wanahitaji amani sasa kwa kuwa yule fala ameondoka.
Kiongozi yeyote wa Syria atakayetaka kuleta uadui na taifa la Israel basi ndio utakuwa mwisho wake kutawala Syria lakini kama atakuwa tayari kushirikiana na Israel atahakikishiwa usalama wake wa kubaki madarakani.
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Vichekesho vingine...😀Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Kwa heshima na taadhima naomba nikuulize hili swali, hivi hawa lsrael wamekukosea nini wewe mtanzania huku? Maana kila siku unakuja na ndoto hizi tu!!Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yaoMkuu hiyo serikali mpya inaanzia wapi kuwakomboa wapalestina wakati Israel inalipua vituo vya kijeshi na viwanda vya silaha na viwanja vya ndege vya Syria?
Yaani hii serikali mpya sijui itaanzia wapi kutawala baada ya Assad kukimbia!
Hata fedha za kuendesha serikali mpya ya Syria sijui zitapatikana wapi.
Yaani Syria imekwisha!
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Wewe na kaallah kenu mnaota ndoto za mchana.Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Punguza hasira ulamaaSiku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Sio ndogo tuNaunga mkono hoja mkuu.
Jamaa sijui kama huwa hajisaidii haja ndogo kwenye kuchakata ndoto zake.
Hahaha! Yule Allah wa Hamas huwa na Hezbollah huwa ananifurahisha sana. Hamas walikuwa wanamtaja taja wakati wanabaka kule Israel October 7Wewe na kaallah kenu mnaota ndoto za mchana.
Uturuki imeanza kutengeneza silaha kali miaka mingi sana kabla ya Iran (mapinduzi ya Iran 1979). Uturuki ni Simba mwenda pole. Pengine wewe umeanza kuijua ikisambaza Drones, ila ina vitu vikali sana na teknolojia yake ni juu sana.Uturuki ni zaidi ya Iran kivipi
The downfall of Turkey has begun. Tamaa ya Kiislamu ya Edogan ya kusimamisha Ottoman Empire ndiyo itakayomlaUturuki imeanza kutengeneza silaha kali miaka mingi sana kabla ya Iran (mapinduzi ya Iran 1979). Uturuki ni Simba mwenda pole. Pengine wewe umeanza kuijua ikisambaza Drones, ila ina vitu vikali sana na teknolojia yake ni juu sana.
"As of 2023, the Turkish Air Force operates HALE UCAVs such as the Baykar Akıncı, and MALE UCAVs such as the TAI Aksungur, TAI Anka, and the IAI Heron. The jet-engined UCAV Baykar Kızılelma is developed for the Turkish Air Force and Turkish Naval Forces; its maiden flight was successfully completed on 14 December 2022"
Hiyo kitu inayoitwa TAI Anka na Aksungur au T625 ni moto wakuotea mbali.
Na uzuri zaidi, inapofika adui wa nje Uturuki wapo wamoja sana kwa walio ndani na nje ya nchi, tofauti na Iran kwani walio nje wengi huipinga serikali.
Na mwisho Uturuki imekubalika katika jumuiya ya kimataifa (haina vikwazo vya uchumi) na Ipo katika NATO, hivyo kuwa sehemu ya michezo ya wakubwa wa dunia.
Bashar naye ilionekana kama hivyo.Unaota! Madola makubwa adui wa israel wameishindwa kuiondoa madarakani leo ije hao waasi waweze? Kwanza wataanzaje?
Kuna watu wenye ujuzi wa hayo maeneo na nguvu ya Israel.Wamesema Israel haina uwezo kabisa wa kuongeza ardhi na kuzitawala kwa sasa.Kufanya hivyo upande mmoja atakuta wengine wanamzingira.Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yao
unaandika nini? Hapo ondoa israel, jordan na misri ndio zinaweza kufyagiliwa na magaidi ya kiislam kwa kuwa kuna vimelea vipo tayari. Misri ina moslem brotherhood ya kina morsi ambaye kina al- Sisi walimtimua madarakani. Usiote eti kuna kikundi cha kigaidi kitaiteka israel na kuikalia hasa hao waislam, labda dunia itakuwa imefikia mwishoBashar naye ilionekana kama hivyo.
Siku za Israel,Misri na jOrdan nazo zitakuja kwa ghafla kama Syria na Afghanistan.
Unaweweseka Sasa na bado. Wewe Russia toka lini kaipiga Syria ili kumtoa Assad? . Mpaka useme Russia kashiriki kumtoa Assad?Hujui kuwa aliyewawezesha waasi kumtoa Assad ni Uturuki, na aliyembakiza madarakani Assad mpaka sasa ni Uturuki na Russia. Kama umesoma hesabu utaweza kutoa na kujumlisha ili upate jawabu.
Ni hivi, Syria ni nchi muhimu sana kwa usalama wa Uturuki. Tatizo la Assad alishindwa kuwadhibiti wakurdi (wanaosaidiwa na Israel/marekani) waliokuwa wakileta matatizo Uturuki na ambao wamejitangazia uhuru katika eneo lao. Kwa usalama wa Uturuki, hii ni hatari. Uturuki inataka kuona Syria Moja.
Pili. ili kuweka Bafo zone kwa Israel, ni muhimu Uturuki iwe na mshiriki/mtawala Syria mwenye kuwaunganisha Wasyria na atayeisikiliza Uturuki. Assad alipoteza mvuto kwa wananchi wake, haikuwa rahisi kufanya nae kazi ndio maana walimshauri aondoke kwa mtindo huo.
Kiufupi Israel hailali Usingizi kama ambavyo haikulala wakati Hizbollah wakiwemo Syria. Sasa hivi ndio Israel ni waoga zaidi kwa Maana Uturuki ni zaidi ya Iran.