Wanaoingia madarakani Syria ndio watakaosaidia utetezi kwa Wapalestina na kuiondoa madarakani serikali ya Netanyahu

Umoja wa Hayat' Tahrir Al Sham ndo kitu hicho hicho Hizbu Tahrir au
 
Waw! Lakini nani kayasema hayo? au ni ww mwenyewe kwa utabiri wako broo.
 
Vichekesho vingine...😀
 
Kwa heshima na taadhima naomba nikuulize hili swali, hivi hawa lsrael wamekukosea nini wewe mtanzania huku? Maana kila siku unakuja na ndoto hizi tu!!
 
Kila ramli mtakayopiga haitafanikiwa. Endeleeni kuhamisha magoli mtajipata mmefika kwa Ayatola

Hamas kijogoo chali
Hizbu mbabe 2006 chali
Houth ndio wenyewe chali
Assady sasa ndio kiboko hewa
Promise 3 ya Iran pumba tupu
Sasa ni Jolani, ngoja tuone. Ila tambueni, Israel anajua anachokifanya Syria na sio hizo ramli zenu. Km intelijensia yake imemaliza viongozi wa juu wa Hizbu na Hamas watashindwa kujua malengo ya waasi?

Israel kuchukua Golan Heights na Hermon wanajua nini wanalenga

Israel kuharibu miundo mbinu yote ya jeshi la Syria wanajua nini wanafanya. Hasa kuwahusu Hizbu na hizo silaha na maeneo ya uzalishaji.

Sasa endeleeni na ramli Israel ataendelea kuwaduwaza
 
Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yao
 

Syrians are ‘exhausted from war’ and won’t get into another one, rebel leader says​


Syrian rebel leader Abu Mohammed al-Golani vows the country will not face another war, telling Sky News that its citizens are already “exhausted” by years of conflict.

“People are exhausted from war. So the country isn’t ready for another one and it’s not going to get into another one,” he says in Damascus while visiting a mosque.
 
Wewe na kaallah kenu mnaota ndoto za mchana.
 
Punguza hasira ulamaa
 
Naunga mkono hoja mkuu.

Jamaa sijui kama huwa hajisaidii haja ndogo kwenye kuchakata ndoto zake.
Sio ndogo tu
Wewe na kaallah kenu mnaota ndoto za mchana.
Hahaha! Yule Allah wa Hamas huwa na Hezbollah huwa ananifurahisha sana. Hamas walikuwa wanamtaja taja wakati wanabaka kule Israel October 7
 
Uturuki ni zaidi ya Iran kivipi
Uturuki imeanza kutengeneza silaha kali miaka mingi sana kabla ya Iran (mapinduzi ya Iran 1979). Uturuki ni Simba mwenda pole. Pengine wewe umeanza kuijua ikisambaza Drones, ila ina vitu vikali sana na teknolojia yake ni juu sana.
"As of 2023, the Turkish Air Force operates HALE UCAVs such as the Baykar Akıncı, and MALE UCAVs such as the TAI Aksungur, TAI Anka, and the IAI Heron. The jet-engined UCAV Baykar Kızılelma is developed for the Turkish Air Force and Turkish Naval Forces; its maiden flight was successfully completed on 14 December 2022"
Hiyo kitu inayoitwa TAI Anka na Aksungur au T625 ni moto wakuotea mbali.

Na uzuri zaidi, inapofika adui wa nje Uturuki wapo wamoja sana kwa walio ndani na nje ya nchi, tofauti na Iran kwani walio nje wengi huipinga serikali.

Na mwisho Uturuki imekubalika katika jumuiya ya kimataifa (haina vikwazo vya uchumi) na Ipo katika NATO, hivyo kuwa sehemu ya michezo ya wakubwa wa dunia.
 
The downfall of Turkey has begun. Tamaa ya Kiislamu ya Edogan ya kusimamisha Ottoman Empire ndiyo itakayomla
 
Unaota! Madola makubwa adui wa israel wameishindwa kuiondoa madarakani leo ije hao waasi waweze? Kwanza wataanzaje?
Bashar naye ilionekana kama hivyo.
Siku za Israel,Misri na jOrdan nazo zitakuja kwa ghafla kama Syria na Afghanistan.
 
Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yao
Kuna watu wenye ujuzi wa hayo maeneo na nguvu ya Israel.Wamesema Israel haina uwezo kabisa wa kuongeza ardhi na kuzitawala kwa sasa.Kufanya hivyo upande mmoja atakuta wengine wanamzingira.
 
Bashar naye ilionekana kama hivyo.
Siku za Israel,Misri na jOrdan nazo zitakuja kwa ghafla kama Syria na Afghanistan.
unaandika nini? Hapo ondoa israel, jordan na misri ndio zinaweza kufyagiliwa na magaidi ya kiislam kwa kuwa kuna vimelea vipo tayari. Misri ina moslem brotherhood ya kina morsi ambaye kina al- Sisi walimtimua madarakani. Usiote eti kuna kikundi cha kigaidi kitaiteka israel na kuikalia hasa hao waislam, labda dunia itakuwa imefikia mwisho
 
Unaweweseka Sasa na bado. Wewe Russia toka lini kaipiga Syria ili kumtoa Assad? . Mpaka useme Russia kashiriki kumtoa Assad?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…