Wanaoiponda UDOM wanawaza nin???!

Ryio

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
80
Reaction score
11
Jaman wakuu nmekuw nkiwaza san hili suala la wa2 kuiponda UDOM kw mda mref, coz utackia ooh mara hamna cjui;
1.maji hakuna
2.walimu vilaza
3.wanafeli san
4.chuo cha CCM
5.vilaza
6.wanafunz wanapewa alama bure
7.wanajiuza
8.chuo cha kata
eban mi huw cielew kbs japo npo hapa UDOM , naomb mweny mawazo ya hekim na uelew wa " KWA NIN MAWE YOTE HAYA NI KWA UDOM TU?"?
Pliiiiz ! Naomb japo mitazamo ya kisomi na so malumbano!
 
Henry,hawa ni watu waliofukuzwa chuo kutokana na mgomo wa mwaka 2010/2011,waliodisco,nawalioomba wakakosa mim nipo udom
 
(naendelea)hayo uliyoorodhesha hapo juu yapo udom? na sielew hii chuk inatoka wap,atakaye changia naomba aweke data hapa
 
Bzimana,weka data hapa,tushindane kwa hoja siyo chuki binafsi,nasi tuweke zetu,watu watajua ukwel uko wap!
 
Henry,ktk hayo uliyoandika hapo ,la kujiuza sina uhakika nalo,lakin hayo mengine,yapo udom gan?hiihii ya TZ,AJAB!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…