Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Mwaka flani ilitolewa tahadhari ya kutoke kimbuka baharini watu wakahamishwa na bahari ikawa seized then watu wakapitisha meli yenye madawa ya kulevya meli ikakamatwa aliyekamatwa akapigwa benchi anyway natural phenomenas huja na viashiria havitokeagi ghafla ghafla kama chafya
 
Mbona hali shawri labda iki ambacho kipo uko mbali kije kutua huku ila dalili ya tsunami lazima mvua na upepo utangulie
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-213656.jpg
    150.7 KB · Views: 1
Tsunami inatokana tetemeko la ardhi ya bahari, ni lini wataalamu wetu wali tabiri tetemeko, eti kutakuwa na mlipuko wa volcano, nchi gani iliwahi kutabiri eti kesho kutakuwa na mlipuko wa volcano?
Wengine wakasema eti vyombo vilikuwa vinapimwa utayari, Kama wanachi wenyewe wameona ni upuuzi hivyo vyombo vya dola ndio vitaogopa?
Halafu utayari wa vyombo vya dola si ni kuwahamisha wanachi toka maeneo yenye hatari, sasa ni kazi gani iliyofanyika leo ya utayari
 
na siku Zanzibar wahihamishwa Bara kukimbia maafa ya bado watatengewa eneo la pori tengefu kuendesha Zanzibar ndani ya Tanganyika ili "ku maintain identity ya Zanzibar isije kumezwa." Katika kuzienzi akili mbovu za Muungano wa Nyerere.
 
Safi sana
 
Kwa Tanzania ni mkoa wa Kagera ndio uliopata mvua kubwa. Hata vyombo vya habari naona wameonyesha baadhi ya sehemu zilizoathirika.

Key
Light blue - Heavy rains
Dark blue - Torrential rains
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…