Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Huwa najiuliza Kila nikipita haya maeneo kuna harufu kali sana ambayo kama humu wezangu mshapita hayo maeneo mmeshuhudia huwa nafunga mpaka vioo vya gari lakini ngoma inapita mpaka ndani ya gari.
Hivi hawa wanaoishi ni binadamu wa kawaida kweli maana nashindwaga kuelewa hawa jamaa ni wa aina gani.
Na ukipita hapo wenyewe hawana habari yaani kama wapo London najiulizaga hii harufu naisikia Mimi tu wadau?