Wanaoishi Vingunguti hapati kero ya harufu mbaya?

Ni siku moja tu unakuwa umezoea harufu hiyo na kuwa sehemu ya maisha yako. Ni kama harufu ya mwili wako unavyoweza kuivumilia na si harufu ya mwingine
 

Kama harufu ya k ya demu wako, wewe ulishaizoea lakini akija kuchepuka kwangu mara ya kwanza nitaona ananuka kinoma lakini nikishaizoea ntaona kawaida tu
 
Mishipa ya pua za binaadamu zina automatiki sensa adijastimenti, yaani ukikaa kwenye harufu kwa muda mrefu pua zinaizoea harufu kisha kukufanya usiisikie hiyo harufu iliyopo.
 
Ni kama jenereta ikiwashwa kwa mara ya kwanza utasikia kelele ila muda unavyoenda husikii kelele, ikizima ndio unagundua kumbe kulikua na kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…