Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano kusherehekea baada ya michezo hiyo kumalizika kwa mafanikio wiki iliyopita. Na wakapiga picha ya ukumbusho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.