Wanaojitolea kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanateleza kwenye theluji kwa ajili ya ukumbusho

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121

Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano kusherehekea baada ya michezo hiyo kumalizika kwa mafanikio wiki iliyopita. Na wakapiga picha ya ukumbusho.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…