Wanaojua fixed match?

Wanaojua fixed match?

Sam kapile

Senior Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
159
Reaction score
59
HABARI wanajanvi ningependa kuchkua nafasi hii kumshukuru mola kwa kutujalia uzima, Ningependa kujua watu ambao wanauza Fixed match au mikeka ya ujakika ambao ni wakwel maana nimekutana na watu kama wawil ila ni scammer
 
Hakuna fixed match mzee utakutana na watu watakupiga pesa. Itakuwa ni double lost
 
Back
Top Bottom