Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

EngutanK

Member
Joined
May 3, 2021
Posts
99
Reaction score
244
Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time.

Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi mawasiliano mbele lazima yakatike na umeme uzimike.

Matymaini ya Simba kusonga mbele lazima yangetimia kama Morrison asingesimamisha mpira na kupata kadi ya njano na kuanza kucheza akihofia kadi ya pili. Simba mjitafakari bahati ilikuwa upande wenu.
 
Huyu Morrison ni mtukutu na katika mechi fulani ya Simba katika league ya VODACOM alimshika linesmen bukta akapata kadi ya njano nusura mechi ile Simba wapate draw na mwadui.

Hebu Simba imtafutie wana saikologia kijana huyu ili akae sawa ni mchezaji mzuri, ni kweli mashambulizi mhimu yalisimama baada ya faulo ile ya Morrison na kadi juu
 
Simba tumekosa magoli mangapi mpaka uwazie hiyo ya BM 3??
Move ile ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili alikata move , LENGO lake lilikuwa zuri maana aliomba penalty lakini timing ilikuwa mbovu wale ni marefa wa kimataifa siyo wa league ya voda mind you
 
Angekuwepo MTU kama okwi angefunga nyingi Sana... finishing was very poor, chances kibao magoli kiduchu..ila hongera Simba Kwa next level football!
Sawa ila na huyu Morrison mambo ya kwapukwapu aache ameigharimu timu sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine kama asingekata move ya bao la pili
 
Sawa ila na huyu Morrison mambo ya kwapukwapu aache ameigharimu timu sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine kama asingekata move ya bao la pili
Sema bao la pili kabla ya half-time ndo alipovulunda Morrison
 
Hard Luck... huu ndiyo mpira!!
Dakiki 95
Fursa 37
Uambulio 3
Center forward mzito kama nondo (Magula)
Simba inaridhika mapema hawana uchu na ushambulizi yakini..
 
Move ile ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili alikata move , LENGO lake lilikuwa zuri maana aliomba penalty lakini timing ilikuwa mbovu wale ni marefa wa kimataifa siyo wa league ya voda mind you
Kuna kipindi inafika mchezaji anaposhambulia anaona hata uwezekano wa kupiga shuti ni mgumu ,ndo unapotumia akili ya ziada kama kutafuta foul ,hebu niambie pale akitoaje pass wakati kashakabwa
 
Huo ndo mwisho tugange yajayo.tumalizie viporo na namungo 2,kisha ihefu ,kisha FA cup ndo tukutane na coastal alafu na wan jangwani wananchi
 
Kuna kipindi inafika mchezaji anaposhambulia anaona hata uwezekano wa kupiga shuti ni mgumu ,ndo unapotumia akili ya ziada kama kutafuta foul ,hebu niambie pale akitoaje pass wakati kashakabwa
Pasia wa nyuma move iendelee kuliko ikatike pale mbuzi alikuwa kaelekezwa kibra cha kupata bao la pili kabla ya half-time wallahi tena, ndo maana wapinzani walipata kupumua na kipa alipata faraja sana kama ulimwona , alipiga faulo ile kwa madaha
 
Hard Luck... huu ndiyo mpira!!
Dakiki 95
Fursa 37
Uambulio 3
Center forward mzito kama nondo (Magula)
Simba inaridhika mapema hawana uchu na ushambulizi yakini..
Mugalu ni bonge la striker! Anaji position vizuri! Tena kuliko hata Kagere! Kwenye maamuzi sasa!! 😌

Morrison naye sijui ameanza kupuliza ile bangi yake aliyokutwa nayo kipindi kile! Inashangaza kuona amecheza kwa dakika 90! Amepoteza mipira mingi, alikosa maamuzi sahihi wakati mwingi! Ana kipaji kikubwa, ila leo alichezo mchezo wa kitoto sana.
 
Back
Top Bottom