Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

Umuhimu wa Mugalu ni kuzuia mabeki wasipande"hii lugha ya stricker kukaba mabeki wapenzi wa Mugalu mmeiokota wapi?
 
Mugalu ni bonge la striker! Anaji position vizuri! Tena kuliko hata Kagere! Kwenye maamuzi sasa!! 😌

Morrison naye sijui ameanza kupuliza ile bangi yake aliyokutwa nayo kipindi kile! Inashangaza kuona amecheza kwa dakika 90! Amepoteza mipira mingi, alikosa maamuzi sahihi wakati mwingi! Ana kipaji kikubwa, ila leo alichezo mchezo wa kitoto sana.
Tactics za mpira imeshabadilika jamanii..
 
Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time. Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi mawasiliano mbele lazima yakatike na umeme uzimike. Matymaini ya Simba kusonga mbele lazima yangetimia kama Morrison asingesimamisha mpira na kupata kadi ya njano na kuanza kucheza akihofia kadi ya pili. Simba mjitafakari bahati ilikuwa upande wenu.
Na pengine ile move ingezaa bao la pili, huenda la tatu lisingepatikana maana mchezo ungebadilika
 
Huyu Morrison ni mtukutu na katika mechi fulani ya Simba katika league ya VODACOM alimshika linesmen bukta akapata kadi ya njano nusura mechi ile Simba wapate draw na mwadui.

Hebu Simba imtafutie wana saikologia kijana huyu ili akae sawa ni mchezaji mzuri, ni kweli mashambulizi mhimu yalisimama baada ya faulo ile ya Morrison na kadi juu
Unambiwa ndo mchezaji anaongoza kwa kukaa na viongozi wengi na mara nyingi wakimsihiii aachane na utukutu wa apa na pale
 
Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time.

Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi mawasiliano mbele lazima yakatike na umeme uzimike.

Matymaini ya Simba kusonga mbele lazima yangetimia kama Morrison asingesimamisha mpira na kupata kadi ya njano na kuanza kucheza akihofia kadi ya pili. Simba mjitafakari bahati ilikuwa upande wenu.
Majuto mjukuu ndugu yangu! Unaikumbuka ile mechi ya ...na Stella Abidjan hapa Dar miaka ile ya 90 ilivyonyong'onyesha watu! Iishia kujisifu kuwa tuliwalamba chenga sana na kuwazidi kimchezo lakini matokeo yakatusaliti! Vumilieni tu wapendwa hayupo mchawi hapo! Mpira ni mchezo wa makosa!
 
Naikumbuka V pass ya Morson ikamkuta Mugalu akaamua kumpasia Kipa.
Kwa game ya Jana hata Bocco nae alibaki na kipa akashindwa kumaliza kazi.

Ndio mpira ulivyo, Sio sahihi kumlaumu mchezaji ambae nae alikuwa anapambana ili timu ishinde. Hizo nafasi zinabaki kuwa historia.
 
Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time.

Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi mawasiliano mbele lazima yakatike na umeme uzimike.

Matymaini ya Simba kusonga mbele lazima yangetimia kama Morrison asingesimamisha mpira na kupata kadi ya njano na kuanza kucheza akihofia kadi ya pili. Simba mjitafakari bahati ilikuwa upande wenu.
Vp na wachezaj waliokosa kufunga wakiwa kipa? Na wan kisa ni Morisson?
 
Mugalu na Bm3 wamezingua sana jana
Wangeingia bwallya na kagere simbaangeshinda goal ata 6
 
Back
Top Bottom