Move ile ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili alikata move , LENGO lake lilikuwa zuri maana aliomba penalty lakini timing ilikuwa mbovu wale ni marefa wa kimataifa siyo wa league ya voda mind youSimba tumekosa magoli mangapi mpaka uwazie hiyo ya BM 3??
Sawa ila na huyu Morrison mambo ya kwapukwapu aache ameigharimu timu sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine kama asingekata move ya bao la piliAngekuwepo MTU kama okwi angefunga nyingi Sana... finishing was very poor, chances kibao magoli kiduchu..ila hongera Simba Kwa next level football!
Sema bao la pili kabla ya half-time ndo alipovulunda MorrisonSawa ila na huyu Morrison mambo ya kwapukwapu aache ameigharimu timu sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine kama asingekata move ya bao la pili
Kuna kipindi inafika mchezaji anaposhambulia anaona hata uwezekano wa kupiga shuti ni mgumu ,ndo unapotumia akili ya ziada kama kutafuta foul ,hebu niambie pale akitoaje pass wakati kashakabwaMove ile ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili alikata move , LENGO lake lilikuwa zuri maana aliomba penalty lakini timing ilikuwa mbovu wale ni marefa wa kimataifa siyo wa league ya voda mind you
Thanks.Simba! Get up stand up for next year's tournament, targeting for semi-final. You are in the right track! Congrats for what you have achieved!!
Pasia wa nyuma move iendelee kuliko ikatike pale mbuzi alikuwa kaelekezwa kibra cha kupata bao la pili kabla ya half-time wallahi tena, ndo maana wapinzani walipata kupumua na kipa alipata faraja sana kama ulimwona , alipiga faulo ile kwa madahaKuna kipindi inafika mchezaji anaposhambulia anaona hata uwezekano wa kupiga shuti ni mgumu ,ndo unapotumia akili ya ziada kama kutafuta foul ,hebu niambie pale akitoaje pass wakati kashakabwa
🤣🤣🤣 Mganga alitudanganyaLakini Simba si tulikubaliana Tunapindua meza kibabe
Do or Die!! 🥵Lakini Simba si tulikubaliana Tunapindua meza kibabe
Mugalu ni bonge la striker! Anaji position vizuri! Tena kuliko hata Kagere! Kwenye maamuzi sasa!! 😌Hard Luck... huu ndiyo mpira!!
Dakiki 95
Fursa 37
Uambulio 3
Center forward mzito kama nondo (Magula)
Simba inaridhika mapema hawana uchu na ushambulizi yakini..