Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

Umuhimu wa Mugalu ni kuzuia mabeki wasipande"hii lugha ya stricker kukaba mabeki wapenzi wa Mugalu mmeiokota wapi?
 
Tactics za mpira imeshabadilika jamanii..
 
Simba! Get up stand up for next year's tournament, targeting for semi-final. You are in the right track! Congrats for what you have achieved!!

Labda Corona iendelee kuwepo
 
Na pengine ile move ingezaa bao la pili, huenda la tatu lisingepatikana maana mchezo ungebadilika
 
Unambiwa ndo mchezaji anaongoza kwa kukaa na viongozi wengi na mara nyingi wakimsihiii aachane na utukutu wa apa na pale
 
Majuto mjukuu ndugu yangu! Unaikumbuka ile mechi ya ...na Stella Abidjan hapa Dar miaka ile ya 90 ilivyonyong'onyesha watu! Iishia kujisifu kuwa tuliwalamba chenga sana na kuwazidi kimchezo lakini matokeo yakatusaliti! Vumilieni tu wapendwa hayupo mchawi hapo! Mpira ni mchezo wa makosa!
 
Naikumbuka V pass ya Morson ikamkuta Mugalu akaamua kumpasia Kipa.
Kwa game ya Jana hata Bocco nae alibaki na kipa akashindwa kumaliza kazi.

Ndio mpira ulivyo, Sio sahihi kumlaumu mchezaji ambae nae alikuwa anapambana ili timu ishinde. Hizo nafasi zinabaki kuwa historia.
 
Vp na wachezaj waliokosa kufunga wakiwa kipa? Na wan kisa ni Morisson?
 
Mugalu na Bm3 wamezingua sana jana
Wangeingia bwallya na kagere simbaangeshinda goal ata 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…