Wanaojua lukole high school ngara

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wana Jamvi,

Kama kuna mtu anaifahamu shule hii na oia jinsi ya kupata joining instruction kwa wasichana wanaokwenda Form V , naomba msaada. Au kama kuna namba ya Mwalimu mkuu
 
Mi naijua. lukole ni sehemu walipokuwa wanaishi wakimbizi wa burundi, baada ya kuondoka ndo yale majengo wakayageuza na kuwa shule. kama vipi ntakupa namba ya tisha anayeishi pale kumnazi jirani na shule mchonge. mia
 
Mi naijua. lukole ni sehemu walipokuwa wanaishi wakimbizi wa burundi, baada ya kuondoka ndo yale majengo wakayageuza na kuwa shule. kama vipi ntakupa namba ya tisha anayeishi pale kumnazi jirani na shule mchonge. mia

Please naomba msaada. je ni shule nzuri? Naomba kujua kuhusu shule hiyo.
Unasafirije kutoka dar kwenda huko?
 
Mimi pia nina mg wangu wa kike anaenda pale, nimehangaika nikapata namba ya Matron, Waalimu wanaume siwaamini hata kdg. Ila unatokea wapi ili tucheki tunawasiaidiaje waweze kufika, obvious usafiri mzuri ni kuanzia Dar.
Ngoja nikuPM
 
According to lukole form six student{2013/'14}kwa ufupi ni shule yenye maendeleo kitaaluma kutokana na kuwa waalimu wenye uzooefu wa kufundisha na matokeo mazuri kwa mitihani ya kimkoa na taifa...kwa hiyo mzazi usiogope kumleta mwanao hapa lukole"ukifika lukole tu tayari una division one ila maisha yako hapa school ndo yatabadili ama kutobadili hiyo one" AMINI HAYA NAYOSEMA ...for more details FIKA SHULENI UJIONEE MWENYEWE. MWENYEWE
 
Me ni form six nasoma pale kama vp nichek nikupe details za hapo ckul in deep...! +255762546166

Kwa nini usiweke details za hiyo shule hapa ili iwe bora kwa watu wote? sasa kila mtu atakupigia simu?
Such a long list?
Naomba uongeze vingine vinavyokosekama hapo chini
 
Haya ni baadhi ya mahitaji kwa wanafunzi wa kike waliochaguliwa kwenye LUKOLE high school, Ngara. Kama kuna kitu kimepungua, tunaomba na wengine waongezee


A: Uniforms

1) Mashati jeupe mikono mirefu (2), V begani ya kitamba cha sketi
2) Skirt: dark blue, mbele rinda la boksi , isiwe fupi
3) Tie- dark blue
3) Black shoes (s pairs): vifupi
4) Soksi ndefu nyeupe (2 or 3 pairs)
5) 2 T-shirts( zinapatikana shule)
6) magauni 2 ya purple ya kushindia shule (aende nayo)


B: Vifaa vya michezo!
7) 2 T-shirts za green
8) Bukta ya Bluu
9) Rubber
10) Sweater la Zambarau (yanapatikana shule)




C: Michango
11) Ada 70,000), inaweza kulipwa hata nusu. Ilipwe

NMB acc named: Lukole Secondary school, capitation grant Acc no: 32101200054 (aende na bank slip)
12) Caution money 5,000

13) Kitambulisho 5,000
14) Furniture 15,000
15) Taaluma 10,000
16) Ulinzi 5,000
17) Matibabu 8,000
18) Nembo ya shule 4,000
19) Wapishi 5,000


D: Vifaa vya usafi:
20) Ndoo, beseni, fagio la chepeo, reki yenye mpini, jembe lenye mpini



E: Vifaa vya malazi
21) Godoro 2.5" x 6
22) Shuka 2 za Pink
23) Blanketi 1


F: Vifaa vya chakula
24) Sahani
25) Bakuli
26) Kijiko
27) Kikombe
28) Sabuni
29) Taulo
30) Picha passport size 4
 
Wanafunzi wa pale huwa wanageuzwa kuwa wake wa wanajeshi wa kambi ambayo iko pale pale.
 
Wanafunzi wa pale huwa wanageuzwa kuwa wake wa wanajeshi wa kambi ambayo iko pale pale.

Do,,hii sasa nayo mpya?
Asante kwa kutufumbua macho juu ya swala hilo!
Ni wanafunzi wote wanageuzwa wake za wanajeshi au baadhi?
Hii ni kwa mapenzi yao wenyewe au wanalazimishwa?
Uongozi wa shule uko aware na jambo hili?
Uongozi unafanyaje kwenye swala hili?
Na wanafunzi wa kiume nao wanaolewa na wanajeshi?

cc @george de hero
 

ndugu, nimeongea na Mkuu wa shule pale, haya mahitaji mengine ni kumtumia hela then watoto wakachukulie kule kule ngara. Hata mimi binti yangu kapangwa pale HGE.
Suala la sijui wanajeshi, usipende kuamini ktk rumours aisee though nitaulizia coz Mie nimeoa ngara na nina ndugu zangu kuke watanisaidia kwa kiasi fulani.
 

Ni bora kufanya hivyo, kuuliza na kujua ukweli!
Kama umesoma swala la kutembea na wanajeshi, nime pause maswali mengi ambayo, kama yatajibiwa, tutapata mwanga.
Je ni mahitaji gani ambayo yatapatikana kule shule na ambayo unaweza kutuma pesa?
 

Ahaaaa! hapo kwenye red nimepapenda, kumbe ni shemeji!
 
Kuna sheria gani inaruhusu mwanafunzi wa sekondari kuwa mke wa mtu huku akiwa masomoni?

Acheni ujinga tunavyojua popote palipo na jeshi hayo mambo hayakosi lakini pia tunachokifahamu huwa ni ridhaa ya binti kama atajilegeza hata wanafunzi wenzie watamtafuna tu ..

Jambo la msingi afate taaluma mengine awaachie wengine na kama ingekuwa ni hivyo sitegemei kama kweli hiyo shule ingekuwa ya kwanza kimkoa ...mapenzi na shule sote tunaelewa ni sawa na chai na mrenda.
 
Kuna sheria gani inaruhusu mwanafunzi wa sekondari kuwa mke wa mtu huku akiwa masomoni?

Acheni ujinga tunavyojua popote palipo na jeshi hayo mambo hayakosi lakini pia tunachokifahamu huwa ni ridhaa ya binti kama atajilegeza hata wanafunzi wenzie watamtafuna tu ..

Jambo la msingi afate taaluma mengine awaachie wengine na kama ingekuwa ni hivyo sitegemei kama kweli hiyo shule ingekuwa ya kwanza kimkoa ...mapenzi na shule sote tunaelewa ni sawa na chai na mrenda.
 
Wewe unaye chafua jina la shule kwa kusema wanafunzi wa LUKOLE hugeuzwa wake wa wanajeshi una uhakika..? mbona mi niko hapa shule toka mwaka jana sijaona wala kusikia hiyo kituuu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…