Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

Ethan hunt

Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
20
Reaction score
8
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
 
Njoo Kota za TANESCO panatizamana na Ubalozi wa Marekani njoo jumamosi asubuhi saa 2asubuh tukiwashe
 
Gymkhana karibu na hospitali ya Aga Khan huwa kuna open court...(hii itakufaa vile ni karibu na Ferry)

Tanesco karibu na ubalozi wa US pia huwa kuna open court...(hapa nina historia napo enzi hiyo tukipaita Drive In)

Mlimani UDSM pia huwa kuna open court...

Sinza hapo Legho kulikuwa na court sijui kama bado ipo, sijafika kitambo...

Ukishindwa sana unaweza enda home kwa Zamaradi kuna half court 😁😁😁
 
Gymkhana karibu na hospitali ya Aga Khan huwa kuna open court...(hii itakufaa vile ni karibu na Ferry)

Tanesco karibu na ubalozi wa US pia huwa kuna open court...(hapa nina historia napo)

Mlimani UDSM pia huwa kuna open court...

Sinza hapo Legho kulikuwa na court sijui kama bado ipo, sijafika kitambo...

Ukishindwa sana unaweza enda home kwa Zamaradi kuna half court 😁😁😁
Mkuu kumbe hspo tanesco umepita pia inawezekana tunajua na sema ndio hivyo Jf Id zetu feki😁
 
Mkuu kumbe hspo tanesco umepita pia inawezekana tunajua na sema ndio hivyo Jf Id zetu feki😁

Inawezekana kaka, ila ni zamani sana kaka, enzi hiyo kuna court moja tu na pembeni ni mbigiri tu zimejaa, hadi JK alikuwa anakuja hapo kupasha...kama ulikuwepo enzi hii basi ni zamani hiyo

Baadaye court zikaja ongezwa, sababu ya kuhost mashindano ya ligi ya kikapu Dar...
 
Back
Top Bottom