Ethan hunt
Member
- Feb 6, 2021
- 20
- 8
Eneo ganNjoo darajani hapa
Ahsante nitajitahidiNjoo Kota za TANESCO panatizamana na Ubalozi wa Marekani njoo jumamosi asubuhi saa 2asubuh tukiwashe
karibuAhsante nitajitahidi
Mkuu kumbe hspo tanesco umepita pia inawezekana tunajua na sema ndio hivyo Jf Id zetu feki๐Gymkhana karibu na hospitali ya Aga Khan huwa kuna open court...(hii itakufaa vile ni karibu na Ferry)
Tanesco karibu na ubalozi wa US pia huwa kuna open court...(hapa nina historia napo)
Mlimani UDSM pia huwa kuna open court...
Sinza hapo Legho kulikuwa na court sijui kama bado ipo, sijafika kitambo...
Ukishindwa sana unaweza enda home kwa Zamaradi kuna half court ๐๐๐
Mkuu kumbe hspo tanesco umepita pia inawezekana tunajua na sema ndio hivyo Jf Id zetu feki๐
Akuambie maelezo huenda utamjua ๐Mkuu kumbe hspo tanesco umepita pia inawezekana tunajua na sema ndio hivyo Jf Id zetu feki๐
Mhhhh ni ngumu sana mkuu sijui na kwanini humu ndani tunaogopana sijui๐คAkuambie maelezo huenda utamjua ๐
Ila kuna wanao shtukianaMhhhh ni ngumu sana mkuu sijui na kwanini humu ndani tunaogopana sijui๐ค