Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni