Wanaokopesha hela za moto siku hizi mko wapi?

Wanaokopesha hela za moto siku hizi mko wapi?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hapo nyuma kulikuwepo wimbi la watu wanakopesha hela kwa riba kubwa hadi 30% kwa mwezi. Pamoja na kwamba riba ilikuwa juu lakini mtu ulikuwa unapata pesa faster unatatulia shida yako maisha yanaendelea. Sasa siku hizi, hizi njemba sizioni kitaa zimepotelea wapi?
 
Hizi njemba za hela za moto nilikuwa nazipenda! Ofisi zao ni vijiweni lakini kiasi chochote cha hela unapewa! Mko wapi siku hizi hatuwaoni! Tunahitaji huduma yenu! Maana benk hadi upate hela hata shida yenyewe inakuwa imeishakumaliza!
 
They make a lot of money!bank siku hizi zimezidi kuwabana wajasiramal wkubwa!wapo...!
 
Back
Top Bottom