M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 436 Feb 6, 2015 #1 Serikali ingefatilia kwa karibu kuhusu kodi. kuna watu wanakopesha pesa kwa riba bila kuwa na leseni hao watu wangefatiliwa ili walipe kodi labda watapunguza asilimia ya riba
Serikali ingefatilia kwa karibu kuhusu kodi. kuna watu wanakopesha pesa kwa riba bila kuwa na leseni hao watu wangefatiliwa ili walipe kodi labda watapunguza asilimia ya riba
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 218 Feb 7, 2015 #2 Acha kiherehere wewe
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,659 Feb 7, 2015 #3 Kwani nani kakuambia hawalipi kodi?