Wanaokopeshwa kwa riba walipe kodi ya mapato

Wanaokopeshwa kwa riba walipe kodi ya mapato

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
436
Serikali ingefatilia kwa karibu kuhusu kodi. kuna watu wanakopesha pesa kwa riba bila kuwa na leseni hao watu wangefatiliwa ili walipe kodi labda watapunguza asilimia ya riba
 
Back
Top Bottom