Wanaokoroma usingizini kumbe na wao huusikilizia mlio wakiamini unatokea kwa jilani

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
wanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au kuwatikisatikisa ili wasikorome kwao huwa ni sawa na kuwakata stimu tu.
 
Wapo kama Walevi,Ukiwaambia Unakoroma wanakataa na Kukasirika!
unawakata stimu ya kuusikilizia mlio mwanana wa melodi wanayohisi hutokea inje siyo wao
 
Kuna wengine utasema umelala na Bodaboda ambayo haina muffler chumba kimoja.
 
Kuna jamaa yeye alikuaga anajua ni jirani anawashaga ka-jenereta usiku kumbe ni yeye anakoroma na anaskia muungurumo kwa mbali
 
Yaaani ni boboboboh mwanzo mwisho
 
wanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au kuwatikisatikisa ili wasikorome kwao huwa ni sawa na kuwakata stimu tu.
Tuwaanzishie kijiji chao
 
Kukoroma kunavuruga ndoa pia
 
Kwa hiyo, ulishawahi wakinadiligi gear?? Maana yake na wao pale hujisikiaje..sikiliza nguruwe anavyonusa nusa, mlio wa kubadili gia hufanana
 
Snoring....there are myth that if you wake up the Man who snore you will also start to snore....well I don't know if it's true or not.
 
Back
Top Bottom