moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Kesho nataka niamka taratibu mpaka nikione kinachofanya nikolome nininiwanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au kuwatikisatikisa ili wasikorome kwao huwa ni sawa na kuwakata stimu tu.